No Clatous Chama, No Party!

Mimi kama shabiki wa simba aka miki nasema tutafungwa 6G

Ee mungu wasaidie mabingwa wa kihistoria watushindilie kipigo cha Vpn mpaka akili itukae sawa tuzikumbuke B20 AMEN
 
Au mtu mmoja anaitwa Juma nyange
Macho yako yanaona kama mimi, yule Middo alikuwa Alliance FC sijui kapotelea wapi. Dogo anajua sana nadhani tatizo ni kutojitambua au hana Wakala mzuri.
 
Macho yako yanaona kama mimi, yule Middo alikuwa Alliance FC sijui kapotelea wapi. Dogo anajua sana nadhani tatizo ni kutojitambua au hana Wakala mzuri.
Yupo mtibwa sugar kaka nani regular stater wa mtibwa eneo la kiungo
 
Anza kujisikitikia mwenyewe kwa kutojua kuandika. Pia wasikitikie yanga wenzio wasio na mashindano ya kimataifa. Always wa vimechi vya ndan kwa ndan
 
Anza kujisikitikia mwenyewe kwa kutojua kuandika. Pia wasikitikie yanga wenzio wasio na mashindano ya kimataifa. Always wa vimechi vya ndan kwa ndan
Usimtukane mamba kabla hujavuka mto, weka akiba ya maneno. Safari bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…