No Clatous Chama, No Party!

No Clatous Chama, No Party!

Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4..Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi😂😂tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka😂😂
 
Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4..Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi😂😂tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka😂😂
 
Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4..Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi[emoji23][emoji23]tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Inabidi hapo tuongeze hata zile 49% za mwamedi zifike hata 62%.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Inabidi hapo tuongeze hata zile 49% za mwamedi zifiki hata 62%.
Haina haja ya kuongeza mkuu, mbona tayari jamaa ana 100% tayari, aliwauliza mikia eti nina 49% ninaweka Bilion 20 na ninyi wanachama mna 51% mnaweka nini kwenye timu?
 
Yaan simba ni chama na chama ndio simba

Kifupi simba bila chama hamna kitu
Umenikumbusha zile mechi ambazo simba wamepoteza kwenye ligi. Chama hakuwapo mechi zote zile.
 
Tajiri ana mipasho zaidi ya Hadija Kopa, utazani Chama alibembeleza kuichezea Simba,wakati uwezo wake ndio uliofanya Simba iwe pale leo.

Basi kuna wapuuzi wataanza kumlaumu Maulidi wa Kitenge.
Screenshot_20210816-121007_Instagram.jpg
 
Simba inawekeza kwenye mpira nyie Utopolo mnawekeza kwenye propaganda. Vituo vyote vya FM radio na wachambuzi wao uchwara kutwa nzima leo ni kuikandia Simba tu,ligi ikianza Utopolo mkimanuliwa lawama zote kwa TFF.
 
Back
Top Bottom