No DNA test kwa huyu mtoto

Mfanano tuu hautoshi kutoa majibu ya moja kwa moja
 
Mi naamini kabisa hata kama ni uongo maana kama mpaka Leo hajatokea mchezaji mpenda tungi kama Paul Gasogne a.k.a Gaza basi hajatokea mchezaji kitombi na mla bata kama Gaucho,mchizi alikuwa anatembembeza ukuni balaa,kiasi ambacho Gardiola akitaka Jamaa afanye kufuru alikuwa anamtaftia pisi agonge,akiingia uwanjani mwepesiiiiii,vyenga vingi.
 
Hata wewe ukivaa jezi hizo ukafuga nywele na kuzipaka kalikiti na kujifunga usongo , halafu ukamalizia kwa kuacha mdomo wazi meno yaonekane, na wewe tutasema 'No DNA'

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Pep alikuwa anamtafutia pisii 😂🤣😄
 
Mfanano tuu hautoshi kutoa majibu ya moja kwa moja
Nimechukua jina nikaGugo kupata picha zaidi nikagundua hapo ilitokea kama ajali kutokea kama Gaucho ola picha zake nyingine na za ukubwani hafanani nae Gaucho kivile kama hapo.
 
Naona walio liwa na dinyo ni wengi kwakua mama ndio anamjua baba wa mtoto na wengi mmeelekeza mawazo kwamba baba wa mtoto ni dinyo hongereni kwa kunyanduliwa na staa wa pira la brazili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…