Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivy dinyo alishawahi hata kutembelea tu south?
Hata wewe ukivaa jezi hizo ukafuga nywele na kuzipaka kalikiti na kujifunga usongo , halafu ukamalizia kwa kuacha mdomo wazi meno yaonekane, na wewe tutasema 'No DNA'
Anatumiwa nauli kama unsvyowatumia maslay queen kukufata daslamhivy dinyo alishawahi hata kutembelea tu south?
huyo mtoto anaonekana wazi kabisa hamna haja ya DNA.Anatumiwa nauli kama unsvyowatumia maslay queen kukufata daslam
Pep alikuwa anamtafutia pisii 😂🤣😄Mi naamini kabisa hata kama ni uongo maana kama mpaka Leo hajatokea mchezaji mpenda tungi kama Paul Gasogne a.k.a Gaza basi hajatokea mchezaji kitombi na mla bata kama Gaucho,mchizi alikuwa anatembembeza ukuni balaa,kiasi ambacho Gardiola akitaka Jamaa afanye kufuru alikuwa anamtaftia pisi agonge,akiingia uwanjani mwepesiiiiii,vyenga vingi.
Ni binti huyo.. wengine wanajua ni mvulanaHuko south afrika ameonekana kijana mwenye kipaji hatari South Afrika.
Swali huyu ni mtoto wa nani?
View attachment 2736310
Adriz kijana wa Allah hizi vituko siku hizi umetoa wapi? Ama nawe umeanza kutuiga kuvuta bange?Mtoto wa Baba yake.
Baba yake mzazi ambaye sio Gaucho.Nani ?
Nimechukua jina nikaGugo kupata picha zaidi nikagundua hapo ilitokea kama ajali kutokea kama Gaucho ola picha zake nyingine na za ukubwani hafanani nae Gaucho kivile kama hapo.Mfanano tuu hautoshi kutoa majibu ya moja kwa moja
🤣🤣🤣🤣🤣Yanga walitazame hili