M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,679 Reaction score 1,612 Jan 25, 2009 #1 people from the area could not speak English. Do we need a foreigner to do work such as housekeeping or gardening Click to expand... Tanzania Standard Newspapers|Home 1. Jamani hata kazi kutandika kitanda..kufagia lazima kujua Kiingereza? 2. Basi viongozi wa maeneo haya wawe na mkakati kuwa na English Course kwa watu wao! Yaani maeneo haya hamna waliotoka form IV an VI wanaojua Kiingereza? Wandugu...nini tatizo? Ndugu zangu Wazanzibari - mpo?
people from the area could not speak English. Do we need a foreigner to do work such as housekeeping or gardening Click to expand... Tanzania Standard Newspapers|Home 1. Jamani hata kazi kutandika kitanda..kufagia lazima kujua Kiingereza? 2. Basi viongozi wa maeneo haya wawe na mkakati kuwa na English Course kwa watu wao! Yaani maeneo haya hamna waliotoka form IV an VI wanaojua Kiingereza? Wandugu...nini tatizo? Ndugu zangu Wazanzibari - mpo?
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,768 Reaction score 2,361 Jan 25, 2009 #2 Tulo toka Zanzibari tupo yakhe! Kwani weye hotelini si wataka chai kavu au kwa silesi? Na matandiko si matandiko tu, yakiingia uchafu ni kuosha tu mferejini. Haya yote mtu wayataka niyaongee kwa kizungu?
Tulo toka Zanzibari tupo yakhe! Kwani weye hotelini si wataka chai kavu au kwa silesi? Na matandiko si matandiko tu, yakiingia uchafu ni kuosha tu mferejini. Haya yote mtu wayataka niyaongee kwa kizungu?
miminimkulimaakachekasana JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,263 Reaction score 4,730 Jun 29, 2017 #3 sema ni rahisi mbongo kujifunza kiengereza except shishi