No English -No Ajira Mahotelini Zenj!

No English -No Ajira Mahotelini Zenj!

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2007
Posts
4,679
Reaction score
1,612
people from the area could not speak English. “Do we need a foreigner to do work such as housekeeping or gardening

Tanzania Standard Newspapers|Home

1. Jamani hata kazi kutandika kitanda..kufagia lazima kujua Kiingereza?

2. Basi viongozi wa maeneo haya wawe na mkakati kuwa na English Course kwa watu wao!

Yaani maeneo haya hamna waliotoka form IV an VI wanaojua Kiingereza?

Wandugu...nini tatizo?

Ndugu zangu Wazanzibari - mpo?
 
Tulo toka Zanzibari tupo yakhe!
Kwani weye hotelini si wataka chai kavu au kwa silesi?
Na matandiko si matandiko tu, yakiingia uchafu ni kuosha tu mferejini.
Haya yote mtu wayataka niyaongee kwa kizungu?
 
Back
Top Bottom