Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Hizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji,
Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni hatari sana kwa afya ya Ligi yetu
Timu ikiwa ngumu ngumu wanaisogeza karibu wanairambisha Asali zinaufyata
Msimu huu kauli ni Moja tu "Ubaya ubwela"