NO Fair Competition kwa huu Uzamini Anaoutoa GSM kwa Timu za Ligi Kuu ni Hatari kwa Ligi Yetu

NO Fair Competition kwa huu Uzamini Anaoutoa GSM kwa Timu za Ligi Kuu ni Hatari kwa Ligi Yetu

Hizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji,

Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni hatari sana kwa afya ya Ligi yetu

Timu ikiwa ngumu ngumu wanaisogeza karibu wanairambisha Asali zinaufyata

Msimu huu kauli ni Moja tu "Ubaya ubwela" View attachment 3053835
Zinaz dhaminiwa na Yanga au GSM? Je akiacha kuzi dhamini huyo utaenda kuzidhamini wewe? Au ulishindana naye kutaka kuzi dhamini wakaamua kumpa yeye?
 
Watu huwaga mnakuja na utetezi wa ajabu sana. Yaani mtu kaleta mada iliyo sahihi kabisa na inayohitaji kujadiliwa kwa utulivu bila mihemko ila kwa kuwa unaona upande wako kama unashambuliwa unashindwa kuona anachokisema, unabaki kutetea tu ujinga.

Eti wengine hamjazuiwa kudhamini? Mwingine anasema na nyie mlipewa kiasi gani hadi mkafungwa? Mwingine anasema na timu zingine ambazo hazijapewa udhamini mbona zilifungwa? Utetezi wa kijinga kabisa.
Leta utetezi wako makini

Aaahaa
 
Waache waendelee na udhamini wao wenye agenda za siri ndani yake lakini safari tutawanyoosha.
 
Hizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji,

Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni hatari sana kwa afya ya Ligi yetu

Timu ikiwa ngumu ngumu wanaisogeza karibu wanairambisha Asali zinaufyata

Msimu huu kauli ni Moja tu "Ubaya ubwela" View attachment 3053835
TFF Yanga kisha panga matokeo ana point 30 kabla ya ligi
 
Back
Top Bottom