Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Kwenye goli 5 Simba walipewa shingapi na GSM?Hizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji,
Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni hatari sana kwa afya ya Ligi yetu
Timu ikiwa ngumu ngumu wanaisogeza karibu wanairambisha Asali
Msimu huu kauli ni Moja tu "Ubaya ubwela" inaufyataView attachment 3053835
Msimu uliopita ulipigwa mechi zote 2 je unadhaminiwa na nani?Hizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji,
Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni hatari sana kwa afya ya Ligi yetu
Timu ikiwa ngumu ngumu wanaisogeza karibu wanairambisha Asali zinaufyata
Msimu huu kauli ni Moja tu "Ubaya ubwela" View attachment 3053835
TFF Hakuna wasomi ni waganga njaa tuHizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji,
Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni hatari sana kwa afya ya Ligi yetu
Timu ikiwa ngumu ngumu wanaisogeza karibu wanairambisha Asali zinaufyata
Msimu huu kauli ni Moja tu "Ubaya ubwela" View attachment 3053835
Maduka yaliyopewa pesa tumeshayatimua, Kennedy Juma,Inonga Baka, Chota Chama, Aishi mnukaKwenye goli 5 Simba walipewa shingapi na GSM?
Wanajua Chama, Baleke, Inonga, Manula, na wengineo. Sasa kwavile wengine mnao huko, waulizeni.Kwenye goli 5 Simba walipewa shingapi na GSM?
Chukua timu moja udhamini, we unadhani kuendesha timu bila udhamini ni kazi urahisi.Hizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji,
Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni hatari sana kwa afya ya Ligi yetu
Timu ikiwa ngumu ngumu wanaisogeza karibu wanairambisha Asali zinaufyata
Msimu huu kauli ni Moja tu "Ubaya ubwela" View attachment 3053835
AahahaaaKwenye goli 5 Simba walipewa shingapi na GSM?
Jamaa analeta tu maneno, halafu pesa hakuna.Chukua timu moja udhamini, we unadhani kuendesha timu bila udhamini ni kazi urahisi.
Ukishaambiwa huo mkataba kati ya GSM na TFF ni wa siri usiotakiwa kujadiliwa na wadau wa mpira vikiwemo vilabu, ujue hapo kuna rushwa imetembea.Kwa hali hii basi Azam angenufaika na timu zote za Ligi kuu!! Halafu kwani wengine wamezuiliwa kudhamini timu zaidi ya moja kupitia bidhaa zao mbalimbali wanazo zalisha!!
Mwekezaji kama Mo (tajiri namba moja nchini 🥵) si alikuwa na uwezo wa kudhamini timu zaidi ya 10 kwenye ligi yetu!!
Muulize manula aliyepokeaKwenye goli 5 Simba walipewa shingapi na GSM?
Chukulia MO naye adhamini timu 5 au 6 unafikili kutakuwa na ligi udhamini bongo sio kama mbele huko watu wanajielewa ila Huku ni kutaka wepesi kwenye mechiKwa hali hii basi Azam angenufaika na timu zote za Ligi kuu!! Halafu kwani wengine wamezuiliwa kudhamini timu zaidi ya moja kupitia bidhaa zao mbalimbali wanazo zalisha!!
Mwekezaji kama Mo (tajiri namba moja nchini 🥵) si alikuwa na uwezo wa kudhamini timu zaidi ya 10 kwenye ligi yetu!!
Na yeye ameomba kudhamini timu nyingine kupitia bidhaa zake kama afanyavyo huyo GSM, na kuzuiliwa?Chukulia MO naye adhamini timu 5 au 6 unafikili kutakuwa na ligi udhamini bongo sio kama mbele huko watu wanajielewa ila Huku ni kutaka wepesi kwenye mechi
Utakapofika mda kila tajili aanze kudhamini timu hizi timu kubwa zitagawana na hapo ndio watu watashtuka kuwa ligi imehalibikaWatu huwaga mnakuja na utetezi wa ajabu sana. Yaani mtu kaleta mada iliyo sahihi kabisa na inayohitaji kujadiliwa kwa utulivu bila mihemko ila kwa kuwa unaona upande wako kama unashambuliwa unashindwa kuona anachokisema, unabaki kutetea tu ujinga.
Eti wengine hamjazuiwa kudhamini? Mwingine anasema na nyie mlipewa kiasi gani hadi mkafungwa? Mwingine anasema na timu zingine ambazo hazijapewa udhamini mbona zilifungwa? Utetezi wa kijinga kabisa.