No girl will choose six packs over six cars

😋😋😋
Screenshot_20260901-232423.png
 
Acheni kuwapandikiza wanawake fantasy zisizokua na uhalisia. Sasa hao wanaume wenye magari 6 wapo wapi bongo hii. Mambo kama haya yanawafanya mabinti wadogo wafikiri dunia ina matajiri wa kutosha kuweza kuwaoa wote.

Anamkataa kijana potential kwa matarajio soon kuna tajiri ataibuka tu from nowhere na kumuoa. Mwishoe anaishia kuwa single mother na kuanza kuwafundisha wanaume jinsi ya kuwa real man
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom