No jkt ; no university

No jkt ; no university

Jonatus

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
1,403
Reaction score
379
Jamani kuna ukweli wowote hapo kuwa kama usipoenda jkt Huendi chuo. ... great thinkers and great researchers mnasemaje kuhusu hili suala
 
huo utaratibu mayb uanze mwaka huu bt kwa cc wa mwaka jana haikua hvyo 2lijiongezea CV 2
 
Hali iko hivyo mkuu.Kwa nchi kama Russia compulsaroy military service ni miezi 12 kwa vijana kati 18-27

Uki dodge service hupati passport, chuo na huduma yeyote ile ya kiserikali.Maisha yanakuwa magmu sana
 
Back
Top Bottom