Jonatus JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,403 Reaction score 379 May 23, 2014 #1 Jamani kuna ukweli wowote hapo kuwa kama usipoenda jkt Huendi chuo. ... great thinkers and great researchers mnasemaje kuhusu hili suala
Jamani kuna ukweli wowote hapo kuwa kama usipoenda jkt Huendi chuo. ... great thinkers and great researchers mnasemaje kuhusu hili suala
Mustapha Ryder Member Joined Dec 19, 2013 Posts 76 Reaction score 12 May 23, 2014 #2 huo utaratibu mayb uanze mwaka huu bt kwa cc wa mwaka jana haikua hvyo 2lijiongezea CV 2
apakak JF-Expert Member Joined Dec 2, 2012 Posts 898 Reaction score 661 May 23, 2014 #3 Hali iko hivyo mkuu.Kwa nchi kama Russia compulsaroy military service ni miezi 12 kwa vijana kati 18-27 Uki dodge service hupati passport, chuo na huduma yeyote ile ya kiserikali.Maisha yanakuwa magmu sana
Hali iko hivyo mkuu.Kwa nchi kama Russia compulsaroy military service ni miezi 12 kwa vijana kati 18-27 Uki dodge service hupati passport, chuo na huduma yeyote ile ya kiserikali.Maisha yanakuwa magmu sana