No journey No work DSM

No journey No work DSM

saligongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
300
Reaction score
340
Hapa jijini hali mbaya sana,hatujui what to DO...we Mungu tusaidie
 
Mtajiju. Mimi ndo maana sipendi kabisa kuishi dar. Kitu kidogo tuu shida. Jua likiwaka shida, mvua zikinyesha shida, magari yamegoma shida. Sie huku bara tunakula upepo mwanana bandugu, poleni watoto wa said meck sadick
 
Wew upo bara ya wapi ndgu, maana hata mikoani magr hayajatoka
 
unajua bangi si mbaya
ubaya ni je? Unaitumia kwa
madhumuni gani?
 
avatar98_3.gif
 
Back
Top Bottom