Ikitokea ukadumu kwenye ndoa naomba urudi hapa 2028 unitukane matusi yote unayoyajua nimekuruhusu.Mwaka huu namuomba sana Allah afanye wepes nipate mke wangu na nianze maisha ya kuitwa mume bila kujali changamoto ambazo Kila siku zipo tuuh hata ukaoe mzungu naye hayakuwa na zake
Tunaoa hatuogopi maneno ya wakosajii
Una taabu wewe... Afu kama ulizabuliwaga kajitulizie kimpango wako . Tuache tulio kwenye ndoa tuvaibMwanaume kama unajitambua usioe.Kataa ndoa tunakusanua kimbia usioe.Ni mara elfu saba mara sabini uzalishe utunze ila kamwe usioeeeeeeee!!!!!
Usioe mwanamke aliyesoma,kimbia usioe utajuta.Wenzako wameoa kwa kujifanya much know sasa hivi wapo wanashinda baa na vijiwe vya kahawa nyumba zao hazikaliki hazilaliki.Wananyimwa mbususu wanakazi ya kubembeleza na kuomba kila iitwapo leo wanaomba kula mbususu.Mwanaume/kijana kimbia usikubali kuingia kwenye huo mtego.Ndoa ni utapeli.
Ndoa ni chaka la wanawake kutafuta unafuu wa maisha na kutimiza fantacy zao za kuvaa gauni na pete ya harusi.Kijana usikubali kutumika kutimiza fantacy za watu.Ni aibu na ni dharau kiwango cha SGR kutumiwa na mwishowe kutafutiwa sababu ya kuachana.
Ukioa jipange kuwa unapangiwa kupata haki yako ya ndoa.Ukioa jipange kupata mpinzani na sio msaidizi.Ukioa jiandae na kuishi maisha ya upweke kuliko ulivyokuwa singo.Ukioa jiandae kufa mapema.
Salama yako ni KATAA NDOA.Jiinvest,jipende jithamini wewe kabla ya wengine.Furaha yako ipo ndani yako usitegemee furaha kutoka kwa walimwengu.Kataa ndoa kulinda uhuru wako,hisia zako,kulinda afya yako ya akili na uchumi wako.
Kama hamuamini muulizeni Ki- Awadhi.
📌📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
Mambo ni mawili tu 🤣Ni aidha uoe au uolewe
Nyie mliokwenye ndoa mbona msianzishe nyuzi zenu.Kutwa kujazana kwenye nyuzi za great thinkers kwanini???Una taabu wewe... Afu kama ulizabuliwaga kajitulizie kimpango wako . Tuache tulio kwenye ndoa tuvaib
Mkuu tafadhali uniskize kwa umakini, kuna watu wanazuiwa wasioe na kuna watu wanazuiliwa wasioe na ikishakuwa hivyo haihalalishi "kataa ndoa".lugumi,Fred vunjaibei,mond na alikiba wote kataa ndoa.
Tusioe ila tuishi nao?Ikitokea ukadumu kwenye ndoa naomba urudi hapa 2028 unitukane matusi yote unayoyajua nimekuruhusu.
Ila vitu ambavyo nakuhakikishia;
1.Demu utakayemuoa sio bikra
2.Ndani ya mwaka utagongewa
3.Kwa staili ya uandishi wako hujui kusua K.
4.Unachances kubwa za kujiua kwasababu ya kugongewa
Ushauri; Ndoa haikufai.KATAA NDOA,MAISHA MAZURI NI ZAIDI YA NDOA!!!
Mbona matajiri wakubwa duniani hawana ndoa?Mkuu tafadhali uniskize kwa umakini, kuna watu wanazuiwa wasioe na kuna watu wanazuiliwa wasioe na ikishakuwa hivyo haihalalishi "kataa ndoa".
Kuna watu sio mapenzi yao kuishi bila ndoa.
Chunguza utaelewa.
Hivi mwanaume una uchumi mzuri una kila kitu, je kuna kitu chenye kukupa faraja na furaha zaidi ya ndoa?
Mkuu!!!?
chapa ilale.Tena ichape kisawasawa.Tusioe ila tuishi nao?
Mkuu nimekwambia kuna watu wanazuiwa wasioe wasiolewe.Mbona matajiri wakubwa duniani hawana ndoa?
Umeolewa wapi weweNdio 😹
Halafu hiyo avatar nimekwambia inanitisha..!!
Hahahaha ni kweli lakini sio sababu ya sisi vijana kutokuoaHuyo shusho mwenyewe aliemuimbia hayo mashairi mazuri mumewe wameachana
Men should only get married if they understand all of the ramifications of getting married. Here are some aspects to consider that immediately come to mind following marriage:Mwanaume kama unajitambua usioe.Kataa ndoa tunakusanua kimbia usioe.Ni mara elfu saba mara sabini uzalishe utunze ila kamwe usioeeeeeeee!!!!!
Usioe mwanamke aliyesoma,kimbia usioe utajuta.Wenzako wameoa kwa kujifanya much know sasa hivi wapo wanashinda baa na vijiwe vya kahawa nyumba zao hazikaliki hazilaliki.Wananyimwa mbususu wanakazi ya kubembeleza na kuomba kila iitwapo leo wanaomba kula mbususu.Mwanaume/kijana kimbia usikubali kuingia kwenye huo mtego.Ndoa ni utapeli.
Ndoa ni chaka la wanawake kutafuta unafuu wa maisha na kutimiza fantacy zao za kuvaa gauni na pete ya harusi.Kijana usikubali kutumika kutimiza fantacy za watu.Ni aibu na ni dharau kiwango cha SGR kutumiwa na mwishowe kutafutiwa sababu ya kuachana.
Ukioa jipange kuwa unapangiwa kupata haki yako ya ndoa.Ukioa jipange kupata mpinzani na sio msaidizi.Ukioa jiandae na kuishi maisha ya upweke kuliko ulivyokuwa singo.Ukioa jiandae kufa mapema.
Salama yako ni KATAA NDOA.Jiinvest,jipende jithamini wewe kabla ya wengine.Furaha yako ipo ndani yako usitegemee furaha kutoka kwa walimwengu.Kataa ndoa kulinda uhuru wako,hisia zako,kulinda afya yako ya akili na uchumi wako.
Kama hamuamini muulizeni Ki- Awadhi.
📌📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
Wee sio mtabiri ila unaweza kutoa maoni juu ila wew huwezi kuwa hitimisho la maisha ya ndoa za watu wengineIkitokea ukadumu kwenye ndoa naomba urudi hapa 2028 unitukane matusi yote unayoyajua nimekuruhusu.
Ila vitu ambavyo nakuhakikishia;
1.Demu utakayemuoa sio bikra
2.Ndani ya mwaka utagongewa
3.Kwa staili ya uandishi wako hujui kusua K.
4.Unachances kubwa za kujiua kwasababu ya kugongewa
Ushauri; Ndoa haikufai.KATAA NDOA,MAISHA MAZURI NI ZAIDI YA NDOA!!!
wanasema haina makombo.. .... !Mtu ashaliwa na watu kibao wengine hata hawakumbuki....anaona ashachoka hakuna anayemtaka soko lake limeisha anatafuta simp mmoja ili aolewe, basi akishaolewa atulie hakuna anawarudia tena wale ma X. Yaani hawa K ni shida
Pesa utapewa baada ya kupigwa pumbuHizo pumbu labda unachezea wewe mjomba nchumali…!!
Mimi nachezea pesa tu..!!
Dawa yao Ni kuwapiga miti na kisha kupita hiviwanasema haina makombo.. .... !
Kila jambo lina kanuni na sheria zake... .., za asili... tatizo ni uharibifu unaochagizwa na mambo mengi!
Kipi hujakielewa mzee,hivi ni vitoto vilivyotokana na wanawake wa baada ya Beijing Conference 1995 to 2000s sasa wengi waliingia kichwa kichwa kwenye mahusiano na agenda za huo mkutano wakajikuta wanazalishwa hovyo watoto wasiokuwa na baba ambao ndiyo hawa wanaosumbua leo vichwani wana akili za mama zao kwamba maisha ni kuishi bila umoja wa kifamilia kama walivyoishi wao.Niwe mkweli tu, falsafa ya #Kataa Ndoa sijawahi kuielewa