No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

Mwaka huu namuomba sana Allah afanye wepes nipate mke wangu na nianze maisha ya kuitwa mume bila kujali changamoto ambazo Kila siku zipo tuuh hata ukaoe mzungu naye hayakuwa na zake

Tunaoa hatuogopi maneno ya wakosajii
Ikitokea ukadumu kwenye ndoa naomba urudi hapa 2028 unitukane matusi yote unayoyajua nimekuruhusu.

Ila vitu ambavyo nakuhakikishia;
1.Demu utakayemuoa sio bikra
2.Ndani ya mwaka utagongewa
3.Kwa staili ya uandishi wako hujui kusua K.
4.Unachances kubwa za kujiua kwasababu ya kugongewa

Ushauri; Ndoa haikufai.KATAA NDOA,MAISHA MAZURI NI ZAIDI YA NDOA!!!
 
Mwanaume kama unajitambua usioe.Kataa ndoa tunakusanua kimbia usioe.Ni mara elfu saba mara sabini uzalishe utunze ila kamwe usioeeeeeeee!!!!!

Usioe mwanamke aliyesoma,kimbia usioe utajuta.Wenzako wameoa kwa kujifanya much know sasa hivi wapo wanashinda baa na vijiwe vya kahawa nyumba zao hazikaliki hazilaliki.Wananyimwa mbususu wanakazi ya kubembeleza na kuomba kila iitwapo leo wanaomba kula mbususu.Mwanaume/kijana kimbia usikubali kuingia kwenye huo mtego.Ndoa ni utapeli.

Ndoa ni chaka la wanawake kutafuta unafuu wa maisha na kutimiza fantacy zao za kuvaa gauni na pete ya harusi.Kijana usikubali kutumika kutimiza fantacy za watu.Ni aibu na ni dharau kiwango cha SGR kutumiwa na mwishowe kutafutiwa sababu ya kuachana.

Ukioa jipange kuwa unapangiwa kupata haki yako ya ndoa.Ukioa jipange kupata mpinzani na sio msaidizi.Ukioa jiandae na kuishi maisha ya upweke kuliko ulivyokuwa singo.Ukioa jiandae kufa mapema.

Salama yako ni KATAA NDOA.Jiinvest,jipende jithamini wewe kabla ya wengine.Furaha yako ipo ndani yako usitegemee furaha kutoka kwa walimwengu.Kataa ndoa kulinda uhuru wako,hisia zako,kulinda afya yako ya akili na uchumi wako.

Kama hamuamini muulizeni Ki- Awadhi.

📌📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
Una taabu wewe... Afu kama ulizabuliwaga kajitulizie kimpango wako . Tuache tulio kwenye ndoa tuvaib
 
lugumi,Fred vunjaibei,mond na alikiba wote kataa ndoa.
Mkuu tafadhali uniskize kwa umakini, kuna watu wanazuiwa wasioe na kuna watu wanazuiliwa wasioe na ikishakuwa hivyo haihalalishi "kataa ndoa".

Kuna watu sio mapenzi yao kuishi bila ndoa.

Chunguza utaelewa.

Hivi mwanaume una uchumi mzuri una kila kitu, je kuna kitu chenye kukupa faraja na furaha zaidi ya ndoa?

Mkuu!!!?
 
Ikitokea ukadumu kwenye ndoa naomba urudi hapa 2028 unitukane matusi yote unayoyajua nimekuruhusu.

Ila vitu ambavyo nakuhakikishia;
1.Demu utakayemuoa sio bikra
2.Ndani ya mwaka utagongewa
3.Kwa staili ya uandishi wako hujui kusua K.
4.Unachances kubwa za kujiua kwasababu ya kugongewa

Ushauri; Ndoa haikufai.KATAA NDOA,MAISHA MAZURI NI ZAIDI YA NDOA!!!
Tusioe ila tuishi nao?
 
Mbona matajiri wakubwa duniani hawana ndoa?
 
kuna jamaa aligoma kuoa akawa anaishi mwenyewe. kuna siku akiwa mwenyewe getoni kwake akabanwa haijulikani kama ni presha msuli au ni shida gani adi akafa.

uko nje maisha yanaendelea km kawaida watu hawajui yalomkuta jamaa adi waliposikia harufu kali kutoka mule geto ya jamaa ndo wakafungua na kukuta kashakufa kitambo na amevimba.

msiishi wenyewe oeni au tafuta ndugu ukae nae.
 
Mwanaume kama unajitambua usioe.Kataa ndoa tunakusanua kimbia usioe.Ni mara elfu saba mara sabini uzalishe utunze ila kamwe usioeeeeeeee!!!!!

Usioe mwanamke aliyesoma,kimbia usioe utajuta.Wenzako wameoa kwa kujifanya much know sasa hivi wapo wanashinda baa na vijiwe vya kahawa nyumba zao hazikaliki hazilaliki.Wananyimwa mbususu wanakazi ya kubembeleza na kuomba kila iitwapo leo wanaomba kula mbususu.Mwanaume/kijana kimbia usikubali kuingia kwenye huo mtego.Ndoa ni utapeli.

Ndoa ni chaka la wanawake kutafuta unafuu wa maisha na kutimiza fantacy zao za kuvaa gauni na pete ya harusi.Kijana usikubali kutumika kutimiza fantacy za watu.Ni aibu na ni dharau kiwango cha SGR kutumiwa na mwishowe kutafutiwa sababu ya kuachana.

Ukioa jipange kuwa unapangiwa kupata haki yako ya ndoa.Ukioa jipange kupata mpinzani na sio msaidizi.Ukioa jiandae na kuishi maisha ya upweke kuliko ulivyokuwa singo.Ukioa jiandae kufa mapema.

Salama yako ni KATAA NDOA.Jiinvest,jipende jithamini wewe kabla ya wengine.Furaha yako ipo ndani yako usitegemee furaha kutoka kwa walimwengu.Kataa ndoa kulinda uhuru wako,hisia zako,kulinda afya yako ya akili na uchumi wako.

Kama hamuamini muulizeni Ki- Awadhi.

📌📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
Men should only get married if they understand all of the ramifications of getting married. Here are some aspects to consider that immediately come to mind following marriage:

  1. Your time is not your own;
  2. Your finances are not your own;
  3. You will be obligated to work non-stop for decades as a corporate drone (or whatever line of work you’re in) until you either pass away, get sick, or somehow retire;
  4. You will experience levels of stress that you have never experienced before;
  5. Your role will be that of provider-in-chief. You will wake up early to go to work and come home late every day for the rest of your life;
  6. There is a high probability that you will experience “buyer’s remorse” and wonder why you ever decided to marry and put such responsibility on your head;
  7. You will age much faster than you would have as a single person due to reason #4;
  8. You will notice that your expenses will increase, while your salary remains virtually stagnant;
  9. Your wife’s and children’s problems become your problems instantly;
  10. You may even become depressed and/or contemplate suicide as a way to escape the overwhelming responsibilities associated with marriage/family life.
 
Ikitokea ukadumu kwenye ndoa naomba urudi hapa 2028 unitukane matusi yote unayoyajua nimekuruhusu.

Ila vitu ambavyo nakuhakikishia;
1.Demu utakayemuoa sio bikra
2.Ndani ya mwaka utagongewa
3.Kwa staili ya uandishi wako hujui kusua K.
4.Unachances kubwa za kujiua kwasababu ya kugongewa

Ushauri; Ndoa haikufai.KATAA NDOA,MAISHA MAZURI NI ZAIDI YA NDOA!!!
Wee sio mtabiri ila unaweza kutoa maoni juu ila wew huwezi kuwa hitimisho la maisha ya ndoa za watu wengine
 
Mwanaume ukishafika 35 hutaki kuoa basi una matatizo ya afya ya akili.
 
Mtu ashaliwa na watu kibao wengine hata hawakumbuki....anaona ashachoka hakuna anayemtaka soko lake limeisha anatafuta simp mmoja ili aolewe, basi akishaolewa atulie hakuna anawarudia tena wale ma X. Yaani hawa K ni shida
wanasema haina makombo.. .... !
Kila jambo lina kanuni na sheria zake... .., za asili... tatizo ni uharibifu unaochagizwa na mambo mengi!
 
Screenshot 2024-10-25 213526.png
 
Niwe mkweli tu, falsafa ya #Kataa Ndoa sijawahi kuielewa
Kipi hujakielewa mzee,hivi ni vitoto vilivyotokana na wanawake wa baada ya Beijing Conference 1995 to 2000s sasa wengi waliingia kichwa kichwa kwenye mahusiano na agenda za huo mkutano wakajikuta wanazalishwa hovyo watoto wasiokuwa na baba ambao ndiyo hawa wanaosumbua leo vichwani wana akili za mama zao kwamba maisha ni kuishi bila umoja wa kifamilia kama walivyoishi wao.

Hawa ndiyo walamba midomo wengine wanataka ku-cover walipokosa mama zao kuolewa so wanataka waolewe wao yaani lipo ombwe kubwa mioyoni mwao na vichwani mwao la kukosa mzazi wa kiume wa kuwalea kiume,hakuna mwanaume mzima upstairs and downstairs aliyetokea familia ya baba na mama atazungumza huu upuuzi wa hawa watoto.
 
Back
Top Bottom