No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

Tumwambiaje
 

Attachments

  • 6419C4A9-8F36-4440-AB7A-782F4914AB8A.png
    6419C4A9-8F36-4440-AB7A-782F4914AB8A.png
    3.3 MB · Views: 1
Pamoja na hayo,maishani kuna ajali nyingi sana,kwa kawaida huwezi kuziona mpaka ikupate ndiyo utajuwa tamu na chungu,lakini wenye uwezo wa kuowa/kuolewa wafanye hivyo ikiwa kwa nafsi yako imekiri hivyo,ndoa nyingi ziliharibika kwa sababu wahusika waliangalia juu juu tu kutokana na ujana,lakini baadaye wanagundua ndoa siyo muonekano tu,kuna vitu vingi sana ukizingatia tabia.
 
Sijaingia jf kitambo....siamini nimeingia leo nakuta hizi mada za kutokuoa bado zinaendelea
Kataa ndoa ni kama hamasi wa kule Gaza u will fight them but u cant finish them.

KATAA NDOA,NI WITO NA MITUME WAKE TUPO NA WATAENDELEA KUZALIWA NA KUZALIWA, YOU WONT BELIEVE IT BUT THATS THE TRUTH!!!
 
Najua wasimbe( MASINGO MAZA) hii falsafa ya kataa ndoa inaingilia maslahi mapana ya nyie kuvalishwa shela na MASIMPS.

Mniwie radhi hakuna namna KATAA NDOA NDIO MPANGO MZIMA.
Hivi kuwa single maza ni dhambi??

Mimi sijaolewa na sina mpango wa kuolewa na kina kasongo km wewe… coz najua hamtaki ndoa mnataka kuolewa 😹😹😹
 
Back
Top Bottom