Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ina maana anaepata tabu kwenye ndoa ni mwanaume pekee??
Vijana mbona mnawaogopa sana wanawake??
Kama hutaki kuoa ni kheri usizalishe, mnatengeneza kizazi cha hovyo ninyi kataa ndoa.
Vijana mbona mnawaogopa sana wanawake??
Kama hutaki kuoa ni kheri usizalishe, mnatengeneza kizazi cha hovyo ninyi kataa ndoa.