marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Kwani hukuona kama salaha aliumia mechi ya mwisho alipo chza kwenye ligi??wanaogopa lawama hao mechi ya barca
Wapo wakina shaqiri ,oligi na stalidgeHivi hawana mbadala kabisa
Kwahiyo oligi na stalidge wanaweza wakavaa viatu vy hao jamaa sio?Liverpool sio MO salah wala firmino we will never walk alone
Kwani Liverpool Bado walikuwa na ndoto ya kufika final au ilibaki kucheza kukamilisha ratiba tuKocha wa Liverpool klopp anathibitisha kukosekana kwa wachezaji wawili muhimu katika kikosi chake cha kwanza kutokana na majeraha
Hvyo hawatakuwa kwenye timu itakayo wavaa Barcelona UEFA pengine wasiwepo mechi zote zilizobaki za ligi
technical another trophy less for Liverpool
View attachment 1089613
Kama unaona wao hawawezi nenda kavae wewe ivo viatuKwahiyo oligi na stalidge wanaweza wakavaa viatu vy hao jamaa sio?
Kama unaona awawezi nenda kavae weweKwahiyo oligi na stalidge wanaweza wakavaa viatu vy hao jamaa sio?
Kama unaona wao hawawezi nenda kavae wewe ivo viatu
Sawa wazee wa mabangiLiverpool sio MO salah wala firmino we will never walk alone