NO MO SALAH NO ROBERTO FILMINO .

NO MO SALAH NO ROBERTO FILMINO .

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kocha wa Liverpool klopp anathibitisha kukosekana kwa wachezaji wawili muhimu katika kikosi chake cha kwanza kutokana na majeraha
Hvyo hawatakuwa kwenye timu itakayo wavaa Barcelona UEFA pengine wasiwepo mechi zote zilizobaki za ligi

technical another trophy less for Liverpool
IMG_20190506_150512_568.jpeg
 
Kocha wa Liverpool klopp anathibitisha kukosekana kwa wachezaji wawili muhimu katika kikosi chake cha kwanza kutokana na majeraha
Hvyo hawatakuwa kwenye timu itakayo wavaa Barcelona UEFA pengine wasiwepo mechi zote zilizobaki za ligi

technical another trophy less for Liverpool
View attachment 1089613
Kwani Liverpool Bado walikuwa na ndoto ya kufika final au ilibaki kucheza kukamilisha ratiba tu
 
Naipenda sana liverpool fc chama langu,lakini kwa yale magoli tuloruhusu kule Spain,ni mengi sana,hata kama wachezaji wote wangekuwa fit kuwatoa Barcelona bado ingekuwa ngumu.

Hapo cha muhimu kesho timu ikapambane tu hivyo hivyo ila isijisahau sana manake tunaweza dhalilishwa palepale na hiko ndo kitu cha kutia aibu.
 
Hawana lolote hao wanamkimbia tu Messi...na hata kama watacheza kichapo kipo pale pale...

First leg si walikuwemo lakini? Na tukawapiga sio!!

Nasema hivi....mnapigwa 4 kesho...mark my words!

👋👋👋👋
 
Back
Top Bottom