BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kocha wa Liverpool klopp anathibitisha kukosekana kwa wachezaji wawili muhimu katika kikosi chake cha kwanza kutokana na majeraha
Hvyo hawatakuwa kwenye timu itakayo wavaa Barcelona UEFA pengine wasiwepo mechi zote zilizobaki za ligi
technical another trophy less for Liverpool
View attachment 1089613

Hahawanaogopa lawama hao mechi ya barca
Uko hoiiii Kama gwajima sa hiziKwahiyo oligi na stalidge wanaweza wakavaa viatu vy hao jamaa sio?
Barcelona hoiiiii Kama gwajiiiKwani Liverpool Bado walikuwa na ndoto ya kufika final au ilibaki kucheza kukamilisha ratiba tu
Pitia ile clip ya gwajima upunguze stress kabla ujalalaHawana lolote hao wanamkimbia tu Messi...na hata kama watacheza kichapo kipo pale pale...
First leg si walikuwemo lakini? Na tukawapiga sio!!
Nasema hivi....mnapigwa 4 kesho...mark my words!
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Kikosi, wamekaa hao akina MessiKocha wa Liverpool klopp anathibitisha kukosekana kwa wachezaji wawili muhimu katika kikosi chake cha kwanza kutokana na majeraha
Hvyo hawatakuwa kwenye timu itakayo wavaa Barcelona UEFA pengine wasiwepo mechi zote zilizobaki za ligi
technical another trophy less for Liverpool
View attachment 1089613
πππππππππππππππππππππππMatokeo ya kesho ni hiviπ Barca 4-0 Watumia nguvu....
Hawana lolote hao wanamkimbia tu Messi...na hata kama watacheza kichapo kipo pale pale...
First leg si walikuwemo lakini? Na tukawapiga sio!!
Nasema hivi....mnapigwa 4 kesho...mark my words!
ππππ
Maana halisi ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ni kwa kuku wa kishingo mwaka huu..KISHINGO 0-4 BARCA
King lazima awadhalilishe ninyi...Hattrick naiona ileeeeeeeee
Lini unatoka kwenye sayari bibie?"Weka na Van Djik, amekosekana mazoezini kwa siku ya jana ingawa hakuna taarifa kamili zilizotolewa kukosekana kwake" jamaa kaona wasimharibie cv zake (Beki bora) kaona bora akimbie mapema tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vice versa is true! Mpira (β½) bhana......Matokeo ya kesho ni hiviπ Barca 4-0 Watumia nguvu....
Wamepambana kama ulivyoona tumempeleka mtu kibla.Naipenda sana liverpool fc chama langu,lakini kwa yale magoli tuloruhusu kule Spain,ni mengi sana,hata kama wachezaji wote wangekuwa fit kuwatoa Barcelona bado ingekuwa ngumu.
Hapo cha muhimu kesho timu ikapambane tu hivyo hivyo ila isijisahau sana manake tunaweza dhalilishwa palepale na hiko ndo kitu cha kutia aibu.
uli mark your words mkuu?Hawana lolote hao wanamkimbia tu Messi...na hata kama watacheza kichapo kipo pale pale...
First leg si walikuwemo lakini? Na tukawapiga sio!!
Nasema hivi....mnapigwa 4 kesho...mark my words!
ππππ