NO MO SALAH NO ROBERTO FILMINO .

NO MO SALAH NO ROBERTO FILMINO .

Kocha wa Liverpool klopp anathibitisha kukosekana kwa wachezaji wawili muhimu katika kikosi chake cha kwanza kutokana na majeraha
Hvyo hawatakuwa kwenye timu itakayo wavaa Barcelona UEFA pengine wasiwepo mechi zote zilizobaki za ligi

technical another trophy less for Liverpool
View attachment 1089613


Matokeo ya kesho ni hivi👉 Barca 4-0 Watumia nguvu....
 
Salah Muoga Wa game kubwa huyu hata ile match na Madrid alianguka akajikunja akaliaaaaa...akatoka uwanjani...sasa...ameshaona moto Wa barca ameona isiwe tabu..
 
Maana halisi ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ni kwa kuku wa kishingo mwaka huu..KISHINGO 0-4 BARCA

King lazima awadhalilishe ninyi...Hattrick naiona ileeeeeeeee
 
Kocha wa Liverpool klopp anathibitisha kukosekana kwa wachezaji wawili muhimu katika kikosi chake cha kwanza kutokana na majeraha
Hvyo hawatakuwa kwenye timu itakayo wavaa Barcelona UEFA pengine wasiwepo mechi zote zilizobaki za ligi

technical another trophy less for Liverpool
View attachment 1089613


"Weka na Van Djik, amekosekana mazoezini kwa siku ya jana ingawa hakuna taarifa kamili zilizotolewa kukosekana kwake" jamaa kaona wasimharibie cv zake (Beki bora) kaona bora akimbie mapema tu 🤣🤣🤣
 
"Weka na Van Djik, amekosekana mazoezini kwa siku ya jana ingawa hakuna taarifa kamili zilizotolewa kukosekana kwake" jamaa kaona wasimharibie cv zake (Beki bora) kaona bora akimbie mapema tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lini unatoka kwenye sayari bibie?
 
Naipenda sana liverpool fc chama langu,lakini kwa yale magoli tuloruhusu kule Spain,ni mengi sana,hata kama wachezaji wote wangekuwa fit kuwatoa Barcelona bado ingekuwa ngumu.



Hapo cha muhimu kesho timu ikapambane tu hivyo hivyo ila isijisahau sana manake tunaweza dhalilishwa palepale na hiko ndo kitu cha kutia aibu.
Wamepambana kama ulivyoona tumempeleka mtu kibla.
 
Hawana lolote hao wanamkimbia tu Messi...na hata kama watacheza kichapo kipo pale pale...

First leg si walikuwemo lakini? Na tukawapiga sio!!


Nasema hivi....mnapigwa 4 kesho...mark my words!



👋👋👋👋
uli mark your words mkuu?
 
Back
Top Bottom