PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Mkuu unaonaje hapi?Naipenda sana liverpool fc chama langu,lakini kwa yale magoli tuloruhusu kule Spain,ni mengi sana,hata kama wachezaji wote wangekuwa fit kuwatoa Barcelona bado ingekuwa ngumu.
Hapo cha muhimu kesho timu ikapambane tu hivyo hivyo ila isijisahau sana manake tunaweza dhalilishwa palepale na hiko ndo kitu cha kutia aibu.