No more boss ladies chini ya utawala wa Magufuli

mwambie hivyo Joyce kiria mkongo na madam Rita halafu urudi kuposti tena!
 
ela ipo na watapata watakaowahonga,wakibanwa kundi flani basi kundi flani litapata ela za kuhonga
 
Heri yangu mimi ninayeuza vitumbua na maandazi hapa kigogo sambusa,kazi kwao wadada wa mujini wanaotegemea kuhongwa.
 
Mwanamke huwezi kumlinganisha na mwanaume wewe waona wataisoma namba ila hawato, CC Nay wa mitego
 
kuna zama pale mjini kwetu, ilikuwa kijana kuwa na hela afu chemistry zako haziko wazi, wanakutangazia "mtoto wa watu" sasa siku hizi kuna ngada na kuna sponsors, hatari sana aseeee!
 
Kama Plan A ikishimndwa kufanya kazi yake vizuri usihofu bado kuna plan B,C,D,E,F,G.......kwa hiyo wale madada ambao hamtaki kushughulisha akili zenu positively jioni ya leo nawatia moyo kwamba mlango mmoja ukifungwa juwa yakwamba kuna mingine zaid ya mia imefunguliwa kwa ajili yako.
" Oh Life no dey
sweet o eh If some people
no dey hate o So use your
number six o Dey calculate,
you go see the ratio"p2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…