No more boss ladies chini ya utawala wa Magufuli

No more boss ladies chini ya utawala wa Magufuli

Dada zetu wale wanaojiita boss ladies hapa mjini watataabika saaana baada ya wanaowafadhili na kuwaweka mjini kwa kuwapa kiburi cha fedha kubanwa vilivyo na serikali ya awamu ya tano...

Amini usiamini wafadhili wa Hawa mastaa uchwara wengi wao ni wakwepa kodi wazuri , wezi wa serikali sehemu tofauti tofauti, wauza unga na watu wasiopata fedha kihalali.

Sasa hivi tunapoelekea hakuna kupata hela kwa njia haramu tena . shughuli IPO kwa dada zetu wanaopenda mteremko lazma waisome namba penda wasipende.

Mapedeshee lazma wajifiche maana ukionekana ni MTU wa kuhonga na kujiachia sana utasema ulipotoa Hizo hela na kama umelipa kodi inavyopaswa.

Hakuna mashauzi na birthdays za kifahari zitapungua mjini...😂😂😂😂😂😂😂😂

HAPA KAZI TU .
mwambie hivyo Joyce kiria mkongo na madam Rita halafu urudi kuposti tena!
 
ela ipo na watapata watakaowahonga,wakibanwa kundi flani basi kundi flani litapata ela za kuhonga
 
Heri yangu mimi ninayeuza vitumbua na maandazi hapa kigogo sambusa,kazi kwao wadada wa mujini wanaotegemea kuhongwa.
 
Mwanamke huwezi kumlinganisha na mwanaume wewe waona wataisoma namba ila hawato, CC Nay wa mitego
 
kuna zama pale mjini kwetu, ilikuwa kijana kuwa na hela afu chemistry zako haziko wazi, wanakutangazia "mtoto wa watu" sasa siku hizi kuna ngada na kuna sponsors, hatari sana aseeee!
 
Kama Plan A ikishimndwa kufanya kazi yake vizuri usihofu bado kuna plan B,C,D,E,F,G.......kwa hiyo wale madada ambao hamtaki kushughulisha akili zenu positively jioni ya leo nawatia moyo kwamba mlango mmoja ukifungwa juwa yakwamba kuna mingine zaid ya mia imefunguliwa kwa ajili yako.
" Oh Life no dey
sweet o eh If some people
no dey hate o So use your
number six o Dey calculate,
you go see the ratio"p2
 
Back
Top Bottom