No ndoa kisa hajui ku do

Ebo kumbe kuna umuhimu wa kutest gari kabla hujalikubali lol!dada ana haki ya kugomea ndoa mtu mwenyewe hajui na hataki kujua pia,kwan angetaka kujua angekuwa mpole dada akamwelekeza nn anatakiwa kufanya ili dada naye aenjoy lenyewe linaleta kufokafoka,namsifu dada kwa kumvumilia amchafue usiku mzima,km jamaa ananonekana hataki kujua kosa lake na kutafuta suluhisho dada sepa zako mbona vidume kibao utampata mwingi raha mapakaaaa!
 




yaani hapa anajiona kakamilika kila idara mwanzo hadi umaliziaji
ndio maana anajisifia
kumbe kichefuchefu kwa mwezie.
 


haya mbambo ni magumu kuyaelewa. kama dada alikuja na mshawasha mkuu wa kukunwa manake ni huyo dada ndo anaye sababisha hayo. mwanamke ndo boss ati, sasa dada kashndwa kaz, yeye ndo anatakiwa amiliki kunio wakati wa kukunwa, siyo analipelekesha tu. halafu walitakiwa waanze doo mapema, yaani sku ya kuandika ndoa ndo wana doo??? sasa wata tubu sa ngapi??. doo mapema kma miaka 2 hivi. siku mnasema twende kwa kasisi, mshamaliza kila kitu, hata kama mnajuta ni kujuta dhambi na siyo utamu tena
 

:lol::lol::lol:..... Rose! Mdogo mdogo basi.
Ila nakushukuru sana kwa kunisaidia kumalizia hii siku vizuri, nimecheka sana.
 
rose wewe yatafute tu mi simo wakija hapa utajua tu
 
sasa atafundishwa na nani? uyo dada akomae nae tu na aende nae taratibu labda wanafanya maandalizi mabovu ndo maana mchezo uyo kaka unamshinda
 

Ndo maana mm huwa nasisitiza kujaribu kwanza kabla ya Ndoa watu huwa mnanipinga sana.
Mimi lazima nipime kwanza na yeye dada alidhike ndo twende kwa mchungaji.
 

Daaaah rose mbavu zangu jamani

imenikumbusha story moja....... dada alifanyiwa hivyo jamaa alipomaliza mdada akamwuliza umegeuza nani hiii yangu choo
 
Daaaah rose mbavu zangu jamani

imenikumbusha story moja....... dada alifanyiwa hivyo jamaa alipomaliza mdada akamwuliza umegeuza nani hiii yangu choo

Hahaha lakini jamani huyo jamaa amekaa muda mrefu anajilinda kwa hiyo alikuwa na mausongo.
Kingine angejaribu gongo siku ya pili ili amkune fresh huyo dada
 
Msema kweli mpenzi wa ............................bora kajisemea mapema kuliko kuingia na kuanza kucheza michezo ya kuigiza
 
Msema kweli mpenzi wa ............................bora kajisemea mapema kuliko kuingia na kuanza kucheza michezo ya kuigiza

Kingine hapa mm nilicho kiona yawezekana mwanamke/dada katumika sana huyu over used
 
Hahaha lakini jamani huyo jamaa amekaa muda mrefu anajilinda kwa hiyo alikuwa na mausongo.
Kingine angejaribu gongo siku ya pili ili amkune fresh huyo dada

Fidel hujasoma vizuri wewe amegonga mara 2 bado mambo yale yale .................mdada akaona mambo gani haya...........tena balaa lingine anatia mbonji hapo hapo juu khaaa mijanaume mingine bana.....
 
aaaaaaaaaaa wapi ndo mnavojidanganya mingine inafikiri kupiga magoli kumi ndio kamaliza kazi kumbe alikuwa na kazi ya kumchubua mwenzie unajua hata kufanya mapenzi ni art shauri yako.

Kingine hapa mm nilicho kiona yawezekana mwanamke/dada katumika sana huyu over used
 
wanaume wengi siku hizi ushahidi tu, hamna kitu. nahisi ubishololo mwingi and maybe vyakula. hakuna mwanaume wa kukutoa jasho siku hizi, sana sana tunawatoa sisi kwa knockout. Utafiti kidogo kabla ya ndoa muhimu usije mwanamke ukaanza kutafuta nyumba ndogo. tena wale zero ndio kutwa kujisifia "nikikupata wewe, hutanisahau" mpeleke 6 kwa 6 sasa, dkk 3 nyingi... doro....
huyo mdada asioloewe na huyo mlala kifuani, itam cost...
 
Hee!!! nini tenaa??????si mmeona eeeeeeh!!!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…