Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
dah masikini; jamaa hana mautulivu lakini ni suala la kiakili zaidi; nimpongeze mdada amekuwa mkweli wa nafsi yake lakini amekuwa mkatili pia; yeye anaplay part gani katika kumtuliza mwenzie..........ni suala alwao waili kuliongea kwa upole