No ndoa kisa hajui ku do

No ndoa kisa hajui ku do

dah masikini; jamaa hana mautulivu lakini ni suala la kiakili zaidi; nimpongeze mdada amekuwa mkweli wa nafsi yake lakini amekuwa mkatili pia; yeye anaplay part gani katika kumtuliza mwenzie..........ni suala alwao waili kuliongea kwa upole
 
ushasema kidole, kwani ilipangiwa kutiwa kidole, acha hizo, ndio maana mnadorora siku hizi maana mnategemea kidole! kidole ni kidole na mdude ni mdude, kila kimoja kina kazi yake rasmi.

kama jamaa jogoo hawiki si atakupiga kidole tu we mjinga, mbona nyie wanawake mnajifanya mnalaumu sana wanaume? ukioana na jamaa jogoo haliwiki, basi kubali kupigwa finger.....mbona wazungu wananunua hadi dildo wakati wameolewa na wanaume na wanaenda nazo dildo kitandani kwa bwanake....si manake bwanake jogoo bovu? kama bovu, anakupga finger, hata wewe umepigwa finger sana tu we mdada ninavyokuona, wala usibishe....kwenye foreplay kidole cha...wako hakijawahi kuingia huko wewe, psssss
 
Kwanza nampongeza jamaa kwa kupiga bao kumi ndani ya masaa yasiyozidi 8 maana perfomance iko juu sana, tatizo ni compatibility issues. Wapo akina dada ambao wako down sana wanahitaji muda mrefu kufikishwa 'Kibo', lakini pia wako akina dada ambao akiguswa tu tayari amefika mwisho na kuanza kuhimiza jamaa afike pia. Lakini upande mwingine wapo akina kaka ambao nao kufika Kibo si tatizo, hata hizo dakika 5 ni nyingi.

Ikitokea kaka anafika Kibo mapema zaidi akakutana na dada ambaye kufika Kibo ni mlima mrefu, obvious hawatakuwa compatible, kaka inabidi afuate speed ya dada. Kwa huyu unayedai ni jamaa yako japo na-tend kuamini kuwa story hii yaweza kuwa yako mwenyewe maana umeielezea kwa ufasaha sana, mwambie ashughulikie tatizo la kisaikolojia. Dada anachohitaji siyo mabao mengi kwa usiku bali ni kufikishwa Kibo tena kwa kishindo. Huyo bwana anapoingia ndani ya uwanda anafikiria kufika Kibo badala ya kufikiria kumfikisha mwenzi wake Kibo. Kwa sehemu kubwa kaka ndiye nahodha wa zoezi hilo, akifanya vibaya zoezi lote ni batili.

Apunguze idadi ya magoli kwa afya yake huku akiongeza uwezo wa kumfikisha Kibo huyo mwenzi wake. Ndoa hiyo itasimama vizuri na wata-enjoy sana, wanaume wa kupiga bao 10 kwa hizi siku zetu wamepungua sana, wengi ni moja kaenda juu viwili hadi vitatu mwisho! Sasa huyu jamaa kwa uwezo huo yuko bomba!

Nawe dada yetu kama unasoma forum hii rudi kwa mpenzi wako, mwambie waziwazi unahitaji akae vipi ili ufike kileleni siyo kuwa na aibu aibu wakati mko wawili tu, weka miguu vizuri naye ajiposition vizuri zoezi litanoga tu, msiachane jamani.
 
huyo jamaa mshauri ajaribu katerero inaweza mtoa kimasomaso, lol! make haimtupi mtu ati! kweli hii makitu ukifanya na Rijamaa rinalofikiri mapenzi ni masumbwi utachoka, hata kama ni lihandsome kiasi gani lazima utalichoka tu! Naona hili lilikuja kwa staili ya kuhesabu mabao tu likijua ndo ujanja kumbe nothing
 
Sio kuuana ila nadhani ingekufaa manake post ya juu umesema nyie ndio mnatukimbiza 6 by 6,Be careful unaweza kumchukulia mtu poa ukaacha naniliu chumbani
 
Ndio tatizo la kulala na wanaume 20 kabla ya ndoa, ingekuwa ndio anavunjwa bikira asingejua kuwa anachafuliwa ila angejua ndio kawaida.
 
ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu watu wapo more after something!isitoshe hawa watu ni muda mchache sana wamejuana!ndoa ndoano watu wanakurupuka tu!kama unampenda mwenzi wako kwa dhati utamvumilia kwa lolote.
 
Huyo mdada ajitahidi kumfundisha jamaa,kama jamaa atakubali ajifunze,atakuwa mkali tu na atamtosheleza kwa analolitaka very very soon coz utaalamu wa haya mambo ni MUDA tu na KUJADILIANA WA2 wahusika..............ila kama anampenda asimkimbie coz maisha ya ndoa ni ZAIDI ya NGONO na ashukuru kumpata jamaa "mpya" kama huyo.......wazo tu
 
Mchizi ni ukeke tu, ndio unaomsumbua.. akishaizoea mbona kawaida tu ata li saa atafika!
 
Huyo mdada ajitahidi kumfundisha jamaa,kama jamaa atakubali ajifunze,atakuwa mkali tu na atamtosheleza kwa analolitaka very very soon coz utaalamu wa haya mambo ni MUDA tu na KUJADILIANA WA2 wahusika..............ila kama anampenda asimkimbie coz maisha ya ndoa ni ZAIDI ya NGONO na ashukuru kumpata jamaa "mpya" kama huyo.......wazo tu

Hapo pekundu pazingatiwe kwa ufanisi wa zoezi hilo. Huyo mdada naye ajihoji kama anafanya wajibu wake ipasavyo. Performance ya mwanaume kwa sehemu kubwa sana inategemea response ya mwenzi, kama amepoa kibaridi halafu utafikiri maiti, jamaa atafanyaje vizuri?

Wakae pamoja kila upande uweke wazi 'likes' and 'unlikes' katika zoezi husika.
 
mhhh hatari kuliko.
heri uolewe na maskinpuuuuuu lakin ANAPUMZI PLUS MAKUNO HEVI MUKITANDA... kuliko kuwa na mtu anayeharisha harisha sha.ha.wa km uyo....


aikubali kufunga ndoa na wa sampo io cz kutoka nje apo garantee cz autaweza daily utiwe hamu tu wakat kumalizia hajui.awez.

ampe mda wa kujipanga .kujitune fresh..IKISHNDIKANA MWAYA CHAPA LAPA....hakuna kitu kibaya dubian km kuwa na ndoa mbili...moja ya mmeo ndani wa ndoa..na nyingne ile ya nje..yule special wa kukukuna tu...AKIMBIE.LASIVYO AKUBALI KUWA 1DAY ATAMCHETA MUMEWE WAKAT KITU ICHO SI KIZURI.MUNGU APEND

Ahahaaaaa!! Goli 10 fasta fasta bila kupumzika c mchezo. Jamaa yuko fiti kwa kumwaga wazungu.
 
Upele umempata mkunaji au kiduku kinachezwa uswahilini! Wadada jamani imetosha, mbona mwaendelea kukazia hukumu ilihali mnajua mtuhumiwa kisha hukumiwa kunyongwa! Watu tume 'mute' nyie mnaendelea tu!
 
mmh,tulishazoea haya kutoka kwa wanawake la kwanza then hataki tena,sasa jamaa tena daaah
 
Back
Top Bottom