No ndoa kisa hajui ku do

Namuonea huruma huyo jamaa,inawezekana asiwe na tatizo ni pschology tu akitulia anaweza piga kazi vizuri.Na wewe Asia hii generalization sio nzuri kina wanaume tunapiga kazi unaweza sikia harufu ya baruti chumbani kwa hiyo tafadhali sana
 
Waoaji wapo sana.tatizo swaga za dada zetu cku hzi cyo.
 
Washirikiane pamoja kutafuta suluhisho la tatizo.
 
Ndo maana wa2 wanaonjana kabla ya ndoa japo hairuhusiwi
ndo hayohayo unachumbiwa na m2 anakwambia mapenzi mpaka tufunge ndoa kumbe jamaa jogoo wake hawiki.
kama jamaa jogoo hawiki si atakupiga kidole tu we mjinga, mbona nyie wanawake mnajifanya mnalaumu sana wanaume? ukioana na jamaa jogoo haliwiki, basi kubali kupigwa finger.....mbona wazungu wananunua hadi dildo wakati wameolewa na wanaume na wanaenda nazo dildo kitandani kwa bwanake....si manake bwanake jogoo bovu? kama bovu, anakupga finger, hata wewe umepigwa finger sana tu we mdada ninavyokuona, wala usibishe....kwenye foreplay kidole cha...wako hakijawahi kuingia huko wewe, psssss
 

we mkareee
 
yaani hapa anajiona kakamilika kila idara mwanzo hadi umaliziaji
ndio maana anajisifia
kumbe kichefuchefu kwa mwezie.
Hajui bingwa hajisifu,husifiwa na mwanaume hasifiwi kula wala kupendeza kazi tu kunako ebo!
 
Mwambie huyo kaka hiviiii, hakuna ndoa bila tendo la ndoa lililokamilika. Mwanamke anatoka kwao ambako anapata kila kitu anakuja kwako kwa ajili ya kupata tendo hilo. Kwa hiyo unapaswa kujua jinsi ya ku du na kumfurahisha mwenzio. Jifunze kwa kusoma vitabu, kupata ushauri kutoka kwa wanaume wakubwa walio kwenye ndoa au ushauri wa kitabibu pale inapobidi.
 



hahahahhahaha umenifurahisha kijana
punguzeni ubishololo kwanza cz grls tunaangalia uwezo wako na sio kujisifia
inawezekana na wewe ndo walewale na siajabu ulishamwagwa kwa ajili ya hicho kijitabia cha kukojoakojoa bila mpangilio
 


haswaaaaaaaa in red umelonga mkuu
kama ni ugali na maharage hata kwa baba na mama upo.
 
Jaman hii msiishangae sana, bora kajua mapema kabla hajaapa, cku hz kuna kasumba, hakuna kufanya had ndoa, juz ilitokea jamaa hatak had ndoa, haya chereko zikaisha, kumbe hata jogoo hawik hata kushtuka, jaman haya c majaribu? Kuuziwa mbuz kwenye gunia? Huyo mdada achague moto au barid ili asijute bdae.
 
siku hz sio tu kuchek kama jogoo anawika na kwa wadada lazmz utest mimba zinashika?maana wengine unakuta washachezeyaaa kizaz kwa kutoa mimba weee mpk wamebaki kama vyuma chakavu,mbuzi kwenye gunia ilishapitwa na wakat
 
You are veree veree smati...
 

jaman umenivunja mbavu!nimecheka mpk nikalia!lol!
 
so you are justifying cheating kwa mwanamke sio? sawa bana
 
hahahaaaa!!!! Bushloiaz, yale yale nilioyosema, mwenye kujisifia hamna kitu. subiri upewe sifa kaka, ndio uanaume. chumba kinuke baruti mnapeana raha ama mnauana...!!

Namuonea huruma huyo jamaa,inawezekana asiwe na tatizo ni pschology tu akitulia anaweza piga kazi vizuri.Na wewe Asia hii generalization sio nzuri kina wanaume tunapiga kazi unaweza sikia harufu ya baruti chumbani kwa hiyo tafadhali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…