No need for DNA test..This is Diamond blood

father-xmas

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Posts
971
Reaction score
1,117




Ndugu heaven on desert kupitia wewe natoa pongezi zangu kwa mafankio makubwa ya bwana mdogo Diamond Platnumz rais wa wasafi.
Vile vie nampa pongezi zangu kwa kuonesha moyo wa kibinadamu kwa kumstiri mzee Gurumo kwa kumnunulia gari.

Kwa vile katuonesha kuwa na moyo wa kusaidia wengine ,ingekua vizuri akimsaidia huyu mdogo wake wanayefanana lips walizorithi kwa mzee Abdul.
Dogo anadai ana kipaji cha kuimba basi msiidie ndugu yako atoe hata single moja tuone kweli uimbaji uko kwenye genes za watoto wa mzee Abdul au dogo anapiga kelele tu kisa kaka mtu unaimba.
Hebu fanya kitu mzee platnumz umsaidie mdogo wako.Si unaona Ali kiba alivyombeba mdogo wake na sasa anapanda naye majukwaani.
Charity begins at home,mkono wako usiwe mrefu kuwasaidia watu wa nje halafu unakua mfupi kuwasaidia watu wa ndani ya familia yako.

Ni hayo tu.
I rest my case.

Cc heaven on desert.
 
Last edited by a moderator:
wamefanana lakini siyo hoja,nina mshikaji kafanana na tupac kila kitu na ni mzaramo wa magomeni
 
wamefanana lakini siyo hoja,nina mshikaji kafanana na tupac kila kitu na ni mzaramo wa magomeni

huyu ni mdogo wake diamond,wanashea baba.
Huyo anayefanana na Tupac labda ni tupac wa kweli,si jamaa wanadai hajafa kweli yuko mahali kajichimbia so labda kaamua kujimbia hapo kwa bibi nyau.
 
kaka kuhusu huyo dogo hta usijisumbue kufikilia anaundugu na diamond isipokuwa anafanana tu na hta clip aliyorecodiwa akisema eti yeye n ndugu wa diamond haikuwa real..diamond alimtafuta mwenyewe akakili kuwa video hiyo jamaa wa bongo 5 alimtafuta akamwomba amrecodi akisema hivyo na wala hakujua lengo la jamaa aliekuwa akirecod kumbe rengo lilikuwa wapost kwa blog yao story ipate vitors wengi..ni hayo tu
 

Ila wamefanana sana aiseee.Anyway wanasema duniani wawili wawili.Hata hivyo diamond wala huyo dogo hawezi kujua kama wao n ndugu.Mwenye ukweli ni mama wa huyo dogo.Si unajua anayejua baba wa mtoto ni mama zetu.Ila yote shwari diamond wangu sana.
 
Watu wengine bwana,,,wewe ndo msemaji wa Diamond?? acha story zako za kutunga...
 
wamefanana lakini siyo hoja,nina mshikaji kafanana na tupac kila kitu na ni mzaramo wa magomeni
You mother----ers can't stop me
Even if I die, I'm gon' be a ----in problem
Do you believe in ghosts, mother----er?
Real live black... ghosts
Feel me?na mkoti 2pac....The only way, for me to come back, is by Makaveli
That's it! All these mother----ers stole from me
I'm takin back what's mine
 
hwheeheeeeee.... kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…