father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117


Ndugu heaven on desert kupitia wewe natoa pongezi zangu kwa mafankio makubwa ya bwana mdogo Diamond Platnumz rais wa wasafi.
Vile vie nampa pongezi zangu kwa kuonesha moyo wa kibinadamu kwa kumstiri mzee Gurumo kwa kumnunulia gari.
Kwa vile katuonesha kuwa na moyo wa kusaidia wengine ,ingekua vizuri akimsaidia huyu mdogo wake wanayefanana lips walizorithi kwa mzee Abdul.
Dogo anadai ana kipaji cha kuimba basi msiidie ndugu yako atoe hata single moja tuone kweli uimbaji uko kwenye genes za watoto wa mzee Abdul au dogo anapiga kelele tu kisa kaka mtu unaimba.
Hebu fanya kitu mzee platnumz umsaidie mdogo wako.Si unaona Ali kiba alivyombeba mdogo wake na sasa anapanda naye majukwaani.
Charity begins at home,mkono wako usiwe mrefu kuwasaidia watu wa nje halafu unakua mfupi kuwasaidia watu wa ndani ya familia yako.
Ni hayo tu.
I rest my case.
Cc heaven on desert.
Last edited by a moderator: