NO OPTION.

Ngoja nikwambie ukweli ambao watu wanao but hawajui tu.

Tunategemea kupata siri ya watu waliofanikiwa na kutoka either kimaisha , kiuchumi, kisanaa n.k tunategemea Tips labda ipo , na kila siku mtu anaongea na watu wengi au ku search sana kutafuta hiii siri. kiufupi ni hakuna SIRI.

Jambo lililopo ni sisi tujiulize, tunatokaje katika hali hiiii na SIO KWA NINI TUPO KATIKA HALI HIII. Hiii ndio tofauti ya mawazo anayefanya anatokaje katika haliii hiii tunasema anatafakari.
Lakini anayewaza why yupo hapa, anataka kutia huruma huyu anajipa stress na kucreat matatizo ambayo hayapo. Una gain nini ukiwa na stress au ku show watu una stress, NOTHING . Then acha kuji stress.

NO OPTION Ni myth kama ilivyo FEAR , tuna zi creat wenyewe, sis wenyewe hazipo katika ulimwengu halisi. Kinacho tugharimu ni matarajio na hali halisi.

Tunategemea after kusoma tutapiga hatua , lakini haipo hivyo. Life is hard, living is hard na maisha yatakupiga lazima yatupige tegemea hili na haijalishi unapigwaje but simama kila upigwapo hiiii ndio msingi wa yote.

Options zipo nyingi but tuwe tayari kuanzia chini......
 
Mwambie aandike kwenye karatasi pana maneno haya 'I SEE THERE ARE 1000 OPTIONS' kisha abandike ukutani chumbani kwake pia umhimize kuyasoma na kuyatafakari muda wote atakaokuwa chumbani. Baada ya mwezi mmoja leta mrejesho hapa.
Nimeupenda sana mchango wako ndugu, ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…