No Pain No Gain

Halafu tufungue uzi wa kuelimishana kuhusu fitness and wellness kuanzia mazoezi, meal plan, supplements etc

Hili miaka kadhaa huko nyuma niliwahi kumwambia Invisible na/au Maxence Melo / Mike Mushi kuhusu jukwaa la afya na mazoezi lakini walinipotezea tu.

Nilikuwa nataka sana kuelimisha watu juu ya mambo ya fitness maana kwa ujumla fitness IQ ya wabongo wengi iko chini sana!
 
Hili miaka kadhaa huko nyuma niliwahi kumwambia Invisible na/au Maxence Melo / Mike Mushi lakini walinipotezea tu.

Nilikuwa nataka sana kuelimisha watu juu ya mambo ya fitness maana kwa ujumla fitness IQ ya wabongo wengi iko chini sana!
Kweli sasa anzisha uzi mwenyewe I'll put my two cents in au tufanye uzi huu mahsusi kwa hilo.
 
Mkuu ukianzisha hii program popote nitafuatilia sana...nipo interested sana na issues za Health and Fitness.
 
Homa ya Ngabu inatisha!
[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385]
 
Hahaa...that's an undisclosed location!

Working out is my lifetime hobby.

I'm obsessed with it.
rudi hata kwenu kuanzia jf ijengwe sijawahi kusikia kuwa uko bongo sijui boks alinunui tkt.


swissme
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›
sijawahi kusikia kuwa ulikuwa my be billcanas club Jory masaki ostabay na kwingineko kwa maan hiyo tangia utoke bongo ndio hivyo tena.umebaki kupiga debe ccm na wakati huo huijui.


swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…