No Pain No Gain

sijawahi kusikia kuwa ulikuwa my be billcanas club Jory masaki ostabay na kwingineko kwa maan hiyo tangia utoke bongo ndio hivyo tena.umebaki kupiga debe ccm na wakati huo huijui.


swissme

Bwa! Ha! Ha! Ha!

Really tho?
 
Of course swala la mazoezi ni muhimu, binafsi ni instructor wa fitness and health. Kama kuna watu hapa JF wanataka huduma hiyo, and wapo bongo wanicheki pm nitawasaidia kwa kila namna waweze kuwa fit physical and mental
 
Mazoezi haya ni mazuri na rahisi kumudu gharama zake ikiwemo pamoja na kula vizuri endapo tu wewe ni bachelor coz ukijinyima basi japo 15000 per day inatakiwa iwepo,basi utatoka fit sana ila kama budget ni elfu kumi alafu ni familia hii itakuumiza unaweza ukawa unatafuta six packs kwa miaka sita maana kila mwaka unapata one pack.kazi kwenu wazee wa vyuma wazee wa triceps na biceps plus shoulders.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

pack moja kwa mwaka....dah
 
Triceps and wrists, man. They need some love too. That's what I'd tell that brotha.
 
Triceps and wrists, man. They need some love too. That's what I'd tell that brotha.
You probably meant to say triceps and the forearm.

The forearm is on point. Both the flexors and extensors are proportional.

The triceps are okay. That was a frontal biceps pose so it's kinda hard to see how developed the tris are.

But trust me the horseshoe is there.

Nevertheless, there's always room for improvement.

And just an FYI, that brotha happens to be none other than yours truly!

[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Hili swali nimewahi kujiuliza
why Atlanta ,Georgia of all places?

In our opinion ndo best place in the USA kuishi?
why not Boston?au Detroit au kwingine?
Bossman vipi hapo?

Pia ushawahi kujiuliza why not ATL but Boston and all those other places?

Maisha ni popote pale na kwa Marekani kusema ukweli hata uishi Fargo, North Dakota huko tofauti za kimsingi na ubora wa maisha ni ama ni ndogo sana au hakuna.

Huduma zilizo za msingi katika kuleta unafuu kwenye maisha ya watu zipo kila kona ya Marekani...iwe kwenye miji mikubwa au midogo!

Kwa hiyo unapomwuliza mtu kwa nini siyo hapa naye anaweza kukuuliza kwa isiwe hapa na iwe kule!

Unaweza ukanipa mfano wa jambo la msingi maishani ambalo mtu wa Atlanta, GA halipati na mtu ambaye anaishi Boston, MA analipata?
 


Nimekuwa curious kwa sabbu nimeuliza uliza watu sifa za miji huko USA nikapata majibu tofauti

kuna watu hawataki kuishi Houston Texas simply wanasema kuna 'wabongo wengi' hawataki

kujichanganya na wabongo

Ukimtajia Atlanta anasema hakuna train sijui ..usafiri ghali ...i am not sure..

Mwingine atasema Atlanta labda kuna weusi wengi...

Mwingine New York maisha ghali kupanga nyumba na kadhalika..

so nime guess unapapenda sana ATL..ndo maana nimeuliza labda kuna vitu vinavutia zaidi kulinganisha na states na miji mingine......

Wengine watakuambia gang violence LA na kadhalika

niko tu curious.....for some reason...labda nna future plans...
 

It all boils down to personal preference.

Halafu nani alikudanganya ATL hakuna treni? Mbona MARTA trains zipo?

Eti weusi wengi! Kwani weusi siyo watu? Mbona bongo nako weusi wengi tu!

Kuhusu sijui Houston kuna wabongo wengi....wabongo wengi ndo kiasi gani?

Mtu umezaliwa, umekulia, na umesomea Tanzania halafu unajifanya hupendi sehemu flani kisa ina wabongo wengi? Really? Seriously? Ina maana basi hata Tanzania huipendi kwa sababu hapa ndo kuna wabongo wengi kuliko sehemu zingine zote duniani, siyo?

Kuhusu gangs L.A, siyo kila sehemu huko kuna gangs. Ingekuwa ni sehemu isiyofaa kuishi basi hata Hollywood isingekuwepo huko.

Personal preference za watu usizifanye ziku influence sana. Maisha ni popote tu pale....hata Ikungulyabashashi yapo!
 
Of course swala la mazoezi ni muhimu, binafsi ni instructor wa fitness and health. Kama kuna watu hapa JF wanataka huduma hiyo, and wapo bongo wanicheki pm nitawasaidia kwa kila namna waweze kuwa fit physical and mental
nataka kuongeza chura mkuu pls help me
 

Nope! I did mean the wrists.

That's the brotha himself? Good looking, man. Woulda looked dope with some vascularity tho, just saying.
 
Nope! I did mean the wrists.

That's the brotha himself? Good looking, man. Woulda looked dope with some vascularity tho, just saying.

Welp..some of those things have to do with genetics, especially if you know a thing or two about human/genetic body types - ectomorph, mesomorph, and endomorph.

What am I? A cross between two of those....and I don't use any anabolic steroids.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…