Bossman vipi hapo?
Pia ushawahi kujiuliza why not ATL but Boston and all those other places?
Maisha ni popote pale na kwa Marekani kusema ukweli hata uishi Fargo, North Dakota huko tofauti za kimsingi na ubora wa maisha ni ama ni ndogo sana au hakuna.
Huduma zilizo za msingi katika kuleta unafuu kwenye maisha ya watu zipo kila kona ya Marekani...iwe kwenye miji mikubwa au midogo!
Kwa hiyo unapomwuliza mtu kwa nini siyo hapa naye anaweza kukuuliza kwa isiwe hapa na iwe kule!
Unaweza ukanipa mfano wa jambo la msingi maishani ambalo mtu wa Atlanta, GA halipati na mtu ambaye anaishi Boston, MA analipata?