MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Boss nadhani main influence ya mtu unapoishi mara nyingi huwa mwenyeji wako. Kama mwenyeji au chuo unachoenda kipo state fulani ni likely utaishi state hiyo kwa muda mrefu kama sio kuishi hapo kabisa. Vile vile kwenye kazi wenyeji hu-influence wageni sana kufanya Kazi zile ambazo wao wanafanya ndiyo maana unasikia wabongo wengi wabeba box sababu wabongo wengi zamani walikua wabeba box, Mexicans wengi wapo factory na mashambani sababu wenyeji wao wengi wapo huko. Ila bdae mtu huweza badili muelekeo wako na state ukishazoeaNimekuwa curious kwa sabbu nimeuliza uliza watu sifa za miji huko USA nikapata majibu tofauti
kuna watu hawataki kuishi Houston Texas simply wanasema kuna 'wabongo wengi' hawataki
kujichanganya na wabongo
Ukimtajia Atlanta anasema hakuna train sijui ..usafiri ghali ...i am not sure..
Mwingine atasema Atlanta labda kuna weusi wengi...
Mwingine New York maisha ghali kupanga nyumba na kadhalika..
so nime guess unapapenda sana ATL..ndo maana nimeuliza labda kuna vitu vinavutia zaidi kulinganisha na states na miji mingine......
Wengine watakuambia gang violence LA na kadhalika
niko tu curious.....for some reason...labda nna future plans...
Boss nadhani main influence ya mtu unapoishi mara nyingi huwa mwenyeji wako. Kama mwenyeji au chuo unachoenda kipo state fulani ni likely utaishi state hiyo kwa muda mrefu kama sio kuishi hapo kabisa. Vile vile kwenye kazi wenyeji hu-influence wageni sana kufanya Kazi zile ambazo wao wanafanya ndiyo maana unasikia wabongo wengi wabeba box sababu wabongo wengi zamani walikua wabeba box, Mexicans wengi wapo factory na mashambani sababu wenyeji wao wengi wapo huko. Ila bdae mtu huweza badili muelekeo wako na state ukishazoea
ATL ni ATL Man. Busiest airport ipo pale, flyovers za hatari zipo pale, trains na kila kitu wenyewe wanapaita The Hub au Hollywood ya weusi since celebs weusi wengi wanatoka hapo from Usher, T.i, Luda, Tyler Perry etc
Anayeponda ATL labda katoka Georgia vijijini Cohutta huko. Ila services zipo kila kona
One among cheapest states in America.. Ni kama Singida au Tabora huku TanzaniaBoss nadhani main influence ya mtu unapoishi mara nyingi huwa mwenyeji wako. Kama mwenyeji au chuo unachoenda kipo state fulani ni likely utaishi state hiyo kwa muda mrefu kama sio kuishi hapo kabisa. Vile vile kwenye kazi wenyeji hu-influence wageni sana kufanya Kazi zile ambazo wao wanafanya ndiyo maana unasikia wabongo wengi wabeba box sababu wabongo wengi zamani walikua wabeba box, Mexicans wengi wapo factory na mashambani sababu wenyeji wao wengi wapo huko. Ila bdae mtu huweza badili muelekeo wako na state ukishazoea
ATL ni ATL Man. Busiest airport ipo pale, flyovers za hatari zipo pale, trains na kila kitu wenyewe wanapaita The Hub au Hollywood ya weusi since celebs weusi wengi wanatoka hapo from Usher, T.i, Luda, Tyler Perry etc
Anayeponda ATL labda katoka Georgia vijijini Cohutta huko. Ila services zipo kila kona
Walichofanikia wamarekani ni kutawanya fursa.. Tulichofeli Tz ni kurundika kila kitu DSM... Kama USA wangerundika kila kitu DC, LA na NYC si ajabu ATL ingekuwa sehemu ya ovyo tu... By the way still ATL ni miungoni mwa states cheap huko US..Kuna mtu aliwahi kuponda ATL eti akasema ni sawa na Shinyanga.
Olympic city hiyo inafananishwa na Shinyanga eti.
City with the world's busiest airport inafananishwa na Shinyanga.
City zilipoanzia CNN na Coca-cola eti inafanishwa na Shinyanga.
Birth place ya greatest American in Martin Luther King Jr. eti inafananishwa na Shinyanga.
Headquarters ya Centers for Disease Control & Prevention [wanakofanya mautafiti ya tiba za ukimwi na Zika] eti inafananishwa na Shinyanga.
Najua zilikuwa hasira za mabifu ya 'Gram tu zilizopelekea hizo kauli. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba kwa Marekani haijalishi mtu unaishi wapi. Hata kama unaishi Montana ubora wa kiwango cha maisha upo pale pale tu.
nataka kuongeza chura mkuu pls help me
Once told him so... Sio sifa though.. It is his way of living.. Wengine hawawezi kuishi bila hivyo..Haaahaaa, nimeouna babu.
But we got to be fair and try to understand our brother hey!
What he does with them pictures are his wheel chair.
Without them he can't walk lest be vocal and influential.
From the bottom of my heart i deeply regret being so negative.
πππππππππππππ
Sikuwahi kujua kama brother SIFA kwake ndiyo Wheel chair and Without them he can't do anything in this world: Yaani utadhani Magufuli ni baba yake.
Daah
Walichofanikia wamarekani ni kutawanya fursa.. Tulichofeli Tz ni kurundika kila kitu DSM... Kama USA wangerundika kila kitu DC, LA na NYC si ajabu ATL ingekuwa sehemu ya ovyo tu... By the way still ATL ni miungoni mwa states cheap huko US..
Hii haiondoi maana ya ATL is one of the best places to live on earth..
Once told him so... Sio sifa though.. It is his way of living.. Wengine hawawezi kuishi bila hivyo..
The worst part is when he thinks he makes everyone jealous on here..
Quality of life in terms of social services, infrastructures mi naona kwa miji yote ya Marekani ni sawa sawa tu.. Na kama kuna tofauti basi ni ndogo sana..Kwanza, ATL is not a state. Get your facts right.
Nadhani unachozungumzia wewe ni cost of living. Cost of living haina uhusiano na quality of life.
Cost of living kuwa juu haimaanishi moja kwa moja kuwa quality of life nayo iko juu au ni bora.
Cost of living kuwa low haimaanishi pia kuwa quality of life iko chini. In fact, cost if living ikiwa chini, with other factors being considered, quality of life inaweza kuwa juu kwa sababu watu wanakuwa na income zaidi kwenye mifuko yao.
Sasa jiulize kwa nini katika miaka 20 iliyopita [baada ya 1996 Olympic games] ATL umekuwa ni mji unaokua kwa kasi sana Marekani?
Sasa hivi hata kukuta watu waliozaliwa ATL ni vigumu. Wengi wa watu wanaoishi ATL ni transplants wa kutoka miji na majimbo mengine...mostly NY.
Kwa nini unadhani watu wote hao wanahamia ATL kama ubora wake wa maisha ungekuwa ni mbovu?
A cheap state to live and raise children doesn't mean low quality of life. It just means that at the end of the day folks have more disposable income to enjoy their life.
Halafu pia, kinachofanya cost of living kuwa chini ni taxes...that is state, city, and local taxes. Low taxes zina influence mambo mengi sana kwenye uchumi wa sehemu kuanzia real estate, education, healthcare, retail business, etc.
Pandisha kodi uone kama watu hawataanza kuondoka. Kutakuwa na mass exodus.
Ni human nature kwa binadamu kutafuta nafuu katika maisha.
Having said that, hakuna kilicho cha msingi L.A. au DC ambacho hakipo ATL.
Ndo maana nasema hata kwa anayeishi sijui Waverly, Iowa huko ubora wa maisha upo palepale tu.
Labda niulize kama ATL ni cheapest city ni cities zipi unazodhani ndiyo bora au unataka kila mtu aishi silicon valley au Manhattan sababu huko ni expensiveOne among cheapest states in America.. Ni kama Singida au Tabora huku Tanzania
Ooooohh really... So u trolling on strangers right..[emoji58]Hahaaaa
No, that's not what I think.
You don't know what I think because you are not in my head.
Perhaps it is what you think I think.
But I definitely don't think that.
How can I make strangers jealous anyway? You don't know me, I don't know you. I can't make you jealous.
Or can I?
Been here since 2006 and this how I have always been.
Quality of life in terms of social services, infrastructures mi naona kwa miji yote ya Marekani ni sawa sawa tu.. Na kama kuna tofauti basi ni ndogo sana..
No man... Hatupangiani sehemu za kuishi. That's why I'm proud with my place NanjilinjiLabda niulize kama ATL ni cheapest city ni cities zipi unazodhani ndiyo bora au unataka kila mtu aishi silicon valley au Manhattan sababu huko ni expensive
Ooooohh really... So u trolling on strangers right..[emoji58]
Unafuu anaweza akawa nao mtu wa Madison.. Ila kama kipato chako kiko poa why bother living there??Eeewaa, hapo upo sahihi kabisa.
Tena kwenye miji midogo ambapo hata crime rate ni ndogo ubora wa maisha ni mzuri zaidi.
Ndo maana siku zote huwa nasema haijalishi mtu unaishi wapi kwa Marekani.
Vya msingi vyote vilivyopo NYC vipo hata Winona, MN.
Au labda wewe unaweza kuniambia mtu aishiye Los Angeles ana unafuu gani wa maisha kumzidi mtu aishiye Madison, Wisconsin?
Labda niulize kama ATL ni cheapest city ni cities zipi unazodhani ndiyo bora au unataka kila mtu aishi silicon valley au Manhattan sababu huko ni expensive
Unafuu anaweza akawa nao mtu wa Madison.. Ila kama kipato chako kiko poa why bother living there??
Si tunaona hata New Yorkers wanavyowatambia watu wa miji mingine...
There u go... Choice is all what matters.. Then tusijione bora kwakuwa labda tunaishi mahala fulani...Why not live there? Si kila mtu anapenda vurugu za miji mikubwa. It all boils down to personal preference. We kama unataka kuishi Nanjilinji huko na mihela yako...why should I care? It's your choice so knock yourself out.
Yeah..si sifa za kipumbavu tu. Kwani wana nini cha zaidi ambacho wengine hawana? Mikia?