The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ni dhahiri kabisa moto wa reforms huwezi kuzimwa kwa kumkamata Tundu Lissu pekee labda wawafunge watanzania wote wanaojielewa na awamu hii wamechoka CCM hawakutegemea hii surprise..
Hapa CCM inajaribu kupambana na kila mtanzania litu ambacho hakitawezekana ndo maana presha ipo juu na hawajui wafanye nini pia hakuna watakalofanikisha
Kwa tume hii ya uchaguzi kama ingekuwa upande wa Chadema amini nakwambia hata bao CCM wasingekubali.kushiriki uchaguzi hata wao wanajua mapungufu ni makubwa mno
Yaani tume ya CCM halafu isimamie Uchaguzi wa CCM haiwezekani. Haya ni maigizo tume hii siyo huru ni sawa na fisi aliyepakwa rangi ya pundamlia halafu aitwe pundamlia kiufupi CCM wamekamatwa pabaya.