The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kitokuwa na tume huru kunachelewesha sana maendeleo maana wateule hawafanyi kazimimi sina affiliation na political party yeyote Ila ni concerned citizen.
Agenda ya No reforms No election ilitakiwa kueleweka na watu wote timamu. Hata kama huwaungi mkono walioanzisha basi bora kukaa kimya kwa kutambua agenda ina mashiko ya dhati kwetu sote. Inasikitisha sana unapoona watu hasa vijana wakiwakejeli wanaosimamia. Kana kwamba ni kwa manufaa yao wanasiasa. Inasikitisha sana. Fact ni watu wana advocate mamlaka ya kuteua viongozi yawe kwa wananchi no matter ni nani, watu hawaoni hili. Ni hatari sana.
kabisa, na hawahofii chochote. Hofu pekee ni uchaguzi wa ndani mwao, wao kwa wao. Nje ya hapo 70% mtu ameshapata.Kitokuwa na tume huru kunachelewesha sana maendeleo maana wateule hawafanyi kazi
Wazalendo wote wa Taifa hili tuko humuNi dhahiri kabisa moto wa reforms huwezi kuzimwa kwa kumkamata Tundu Lissu pekee labda wawafunge watanzania wote wanaojielewa na awamu hii wamechoka CCM hawakutegemea hii surprise..
Hapa CCM inajaribu kupambana na kila mtanzania litu ambacho hakitawezekana ndo maana presha ipo juu na hawajui wafanye nini pia hakuna watakalofanikisha
Kwa tume hii ya uchaguzi kama ingekuwa upande wa Chadema amini nakwambia hata bao CCM wasingekubali.kushiriki uchaguzi hata wao wanajua mapungufu ni makubwa mno
Yaani tume ya CCM halafu isimamie Uchaguzi wa CCM haiwezekani. Haya ni maigizo tume hii siyo huru ni sawa na fisi aliyepakwa rangi ya pundamlia halafu aitwe pundamlia kiufupi CCM wamekamatwa pabaya.
View attachment 3308707