PostGE2025 No reform no election ilikuwa akili kubwa. Agenda imefanikiwa

PostGE2025 No reform no election ilikuwa akili kubwa. Agenda imefanikiwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tanzania haikuwa na reform wala uchaguzi.

No reform no election kwa namna hivyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.

Mliokuwa mnauliza itatekelezwa vipi sasa jibu ni Watanzania wenyewe watachukuwa nchi yao kwa amani au kwa damu.

Huyu Mama amekaa kama mdoli hata hajui analofanya

Anayebisha atuambie uchaguzi ulikuwa wapi?
 
Imeisha hiyo,uchaguz umefanyika serikali iko madarakani na hao mliowatuma kufanya vurugu kilichowakuta mmekiona
 
Back
Top Bottom