PreGE2025 No reform No Election ni agenda ya muda mrefu ilikuwepo kabla ya kutajwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
6,468
Reaction score
6,022
Ukifuatilia muitikio wa agenda wa No Reform No Election utagundua kuwa ni agenda yenye umaarufu kupita chama chochote cha siasa!

Muda mrefu sana ukihoji watu sababu ya kutopiga kura utasikia hata nisipopiga kura yangu haina maana!
Kura yangu haizingatiwi, Viongozi wameshachaguliwa kabla ya uchaguzi!

Sina hamu ya kupiga kura kwa sababu siamini wanaohesabu kura!
Sina haja ya kujisumbua kupiga kura kwa sababu kura yangu haihesabiwi!
Sina haja ya kupiga kura kwa sababu uchaguzi umeshafanyika gizani.

Kwa wale waalimu waandishi kwenye vituo na wanaohesabu kura wanakuambia kura zinaletwa na maafisa usalama wakiwemo polisi!

Kauli za viongozi wakuu kama hizi hapa:
1, Ninakupa mshahara, nyumba na gari halafu unamchagua mpinzani-- JP Magufuli
2, Hata mchichagua mpinzani CCM itatengeneza serikali
NK

No reform No Election ni agenda ya Taifa!!
Maoni yenu!!
 
Upo sahihi, na ndiyo maana wanachi wameipolea kwa moyo wote.

Ni LAZIMA turudisbe uthamani wa kura yetu.
Yeyote anayekataa No Reforms ni Mnyonyaji... ( Maneno ya Mwalimu)
 
Ukifuatilia muitikio wa agenda wa No Reform No Election utagundua kuwa ni agenda yenye umaarufu kupita chama chochote cha siasa!

Muda mrefu sana ukihoji watu sababu ya kutopiga kura utasikia hata nisipopiga kura yangu haina maana!
Kura yangu haizingatiwi, Viongozi wameshachaguliwa kabla ya uchaguzi!

Sina hamu ya kupiga kura kwa sababu siamini wanaohesabu kura!
Sina haja ya kujisumbua kupiga kura kwa sababu kura yangu haihesabiwi!
Sina haja ya kupiga kura kwa sababu uchaguzi umeshafanyika gizani.

Kwa wale waalimu waandishi kwenye vituo na wanaohesabu kura wanakuambia kura zinaletwa na maafisa usalama wakiwemo polisi!

Kauli za viongozi wakuu kama hizi hapa:
1, Ninakupa mshahara, nyumba na gari halafu unamchagua mpinzani-- JP Magufuli
2, Hata mchichagua mpinzani CCM itatengeneza serikali
NK

No reform No Election ni agenda ya Taifa!!
Maoni yenu!!
No reform no election
 
Askofu Bagonza: Kubaki na kura yako Katika mazingira haya ni jambo jema sana.

No Reforms no Election 💪 🔥
 
Ukifuatilia muitikio wa agenda wa No Reform No Election utagundua kuwa ni agenda yenye umaarufu kupita chama chochote cha siasa!

Muda mrefu sana ukihoji watu sababu ya kutopiga kura utasikia hata nisipopiga kura yangu haina maana!
Kura yangu haizingatiwi, Viongozi wameshachaguliwa kabla ya uchaguzi!

Sina hamu ya kupiga kura kwa sababu siamini wanaohesabu kura!
Sina haja ya kujisumbua kupiga kura kwa sababu kura yangu haihesabiwi!
Sina haja ya kupiga kura kwa sababu uchaguzi umeshafanyika gizani.

Kwa wale waalimu waandishi kwenye vituo na wanaohesabu kura wanakuambia kura zinaletwa na maafisa usalama wakiwemo polisi!

Kauli za viongozi wakuu kama hizi hapa:
1, Ninakupa mshahara, nyumba na gari halafu unamchagua mpinzani-- JP Magufuli
2, Hata mchichagua mpinzani CCM itatengeneza serikali
NK

No reform No Election ni agenda ya Taifa!!
Maoni yenu!!
Duuh, Jana bhana nikiwa ktk matembezi ya jioni na wife kwa miguu tu maeneo ya mitaa yetu hapa Majengo - manispaa ya Shinyanga, tuka - come across na watoto wanacheza chandimu....

Mmoja akasikoo goli, ktk kushangilia yule aliyeskoo goli aka - shout slogan ya CHADEMA ya "NO Reforms...." wale teammates wake wakapokea 'No Election...!!" baadae ngoma, mchezo unaendelea..

Honestly, we were so surprised na tuliishia kucheka na kufurahi sana aisee na kusema, huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake mpya ana influence ya hali ya juu sana, mpaka watoto wamemuelewa...

That's very great..
 
Back
Top Bottom