Kwanza nikupe maua yako Mhe. Aida Mbunge wa Nkasi. Mimi pia ni Mkatoliki na uliyoyasema yana ukweli kwa asilimia 100.
No Reform No Election umeletwa na uchaguzi mbaya na wa hovyo wa Serikali za Mitaa 2024. Uchaguzi wa 2024 ungeenda vizuri pasingekuwepo na No Reform No Election.
Mtu anashinda na kwenda kuapishwa anakataliwa. Anavyosema Mhe. Aida na Mamlaka iko kimya.
Hiyo ni nchi ya namna gani. Bado Mamlaka ya hiyo Wizara ipo na hakuna cha kuwafanya. Ingekuwa vema Mamlaka ya hiyo Wizara wakajiuzulu kwa kwa ajili ya uchaguzi wa 2024. Tanzania ni nchi ya Amani. Tutende haki.