Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Haya maeneo ambayo Chadema inapita kwenye Kanda ya Kusini ikiwemo Mbamba Bay, yalijaa watu walioamini kwamba CCM ni dini, na kwamba ukiondoka ccm utahukumiwa na Mungu siku ya kiama.
Kazi inayofanywa na Chadema ni kazi iliyotukuka, ni kama kuwaondoa Wananchi hawa kwenye Makaburi meusi ya fikra na kuwatoa kwenye vyungu vilivyofunikwa na mablanket Meusi yaliyojaa kunguni.
Ikumbukwe kwamba ccm inapenda wananchi wawe misukule ili iwatumikishe itakavyo huku madaraka ya Nchi wakipewa watoto wa Viongozi akiwemo Nape Nnauye
Leo Imepigwa hotuba ambayo imewafufua Wananchi na wamekubali kwamba bila Reforms hakutakuwa na Uchaguzi.
Hali ndio kama hivi.
Baadaye Tundu Lissu akapewa Zawadi ya Samaki mtamu anayeitwa Mbufu