Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Kila kitu wanaona hakifai kwao kumbe ni athari za uamuzi wao useless .
Wanamkasirikia kila mtu bila hata ya sababu ya msingi, na ni uamuzi huo waliufanya kwa uhuru na amani yao kidemokrasia.
Wala hakuna aliewazuia wasisusie uchaguzi, na uchaguzi mkuu ukafanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi kwa uhuru, haki, uwazi na amani, huku dunia nzima ukishuhudia.
Nashauri waendelee na hii nonsense yao tena 2030🐒
Mungu Ibariki Tanzania