GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm ni kama nchi ya netanyahu mkuu stuka 😁
….No Reforms, No Election imekufa, na imekufa tarehe leo KamandašŸ˜…
 
Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.

Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama chenu wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..

UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;

1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa
2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025
3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika
4. Baada ya bunge kufika kikomo na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale

Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?

Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Lissu, na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.

Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?

Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbona mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?

Heche na Lema walijaribu kuanzisha harambee wakaishia kupata laki 8
Umewamaliza mkuu, hongera
 
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
Hivi zile bodaboda na baskeli zilicost kiasi Gani au ndio tunazilipia 🤣 🤣 🤣
 
Mnajitekenya, halafu mnacheka wenyewe.

Kama imekufa, ni kwa nini mnaendelea kumshikilia Lissu gerezani kwa mashtaka ya kitoto? Kwa nini hamuiruhusu Chadema na viongozi wake kuendelea kufanya shughuli zao za kisiasa? Si mnafahamu kitakacho tokea!!

Nyinyi ni zaidi ya makunguru. Penyewe mnalindwa na policcm, lakini bado mnawaogopa watu wasio na silaha.
Lissu ni mhalifu
 
Mnapendwa mnaogopa reforms mnaogopa uchaguzi huru na wa Haki muulizeni Wembo atawapa uzoefu kilichomkuta changishaneni halafu fanyeni mabadiliko ya kweli TAL aingie kwa debe ndio mtajua hamjui
 
ambao hamjamuelewa aliyeanzisha huu uzi ni kwamba,
JAMAA HATETEI CCM,BALI ANATETEA UISLAMU MAANA MGOMBEA CCM NI MUISLAMU MWENZAKE.

Ndio maana kama mkichunguza anaowakashifu kwenye huu uzi wake wote akiwemo maria,polepole na wengine ni WAKRISTO.

HIVYO HUYU JAMAA MUELEWENI VIZURI.
Pia mkifuatilia nyuzi zake zote humu ana BASE KWENYE UISLAMU NA WAISLAMU WENZAKE.
Angalia huyu punguani mwingine Harambee ni Uislam umeingiaje?

Mwamposa katoa milioni 50 ni Muislam?

Umekasirika sana vipi pesa ya Lissu ya gari imeishaitimia mliokuwa mnachanga?
 
Acha udini we kibwengo
 
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
Wanamchangia ili asije anasema hela za no reforms no election ziliishia kwenye kampeni!Wako na Akili sana . reforms Iko palepale .
 
Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.

Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama chenu wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..

UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;

1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa
2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025
3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika
4. Baada ya bunge kufika kikomo na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale

Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?

Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Lissu, na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.

Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?

Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbon a mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?

Heche na Lema walijaribu kuanzisha harambee wakaishia kupata laki 8
tulia Baada ya uchaguzi serikali itakavuoendesha shughuli zake tuone
 
Mbona Bavicha wamechukia sana wao mbona walianzisha harambee ya kumchangia Lissu kununua gari leo mwezi wa 10 hamna aliyesema kitu. Mpaka leo pesa bado haijakamilika.
 
Angalia huyu punguani mwingine Harambee ni Uislam umeingiaje?

Mwamposa katoa milioni 50 ni Muislam?

Umekasirika sana vipi pesa ya Lissu ya gari imeishaitimia mliokuwa mnachanga?
punguani ukoo wako,kama kawaida yenu matusi,unahitaji tutukane sio wewe kinyago?
 
Wewe punguani mambo ya Uislam yanaingiaje? Kama unataka mambo ya dini kuna jukwaa lake.
 
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
Inakufaje wakati hakuna dalili za uchaguzi)??
 
Wanaukumbi.

No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.

Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.

Rais Samia anachangiwa na kila mwananchi, Matajiri, Bodaboda, Mama lishe, Wavuvi,
Kwa hawa Mafisadi siyo?

Screenshot 2025-08-12 at 21.17.01.png

Na huyu Mswahili?

Screenshot_2025-07-19-01-55-06-1 (1).png
 
Harambee imejaa mafisadi!
Ungekuwa unajielewa ungewasikitikia ndg zako masikini kule kijijini!
Tafsiri ya hilo genge kuchangia cccm ni kwamba nchi itapigwa mitii kwenye kukwepa kodi kwa miaka mi5 ijayo and so huduma zitazidi kuzorota serikalini!!.
 
Back
Top Bottom