GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unaongea kutokea wapi? Wagomgea urais wanamalizia kuchukuwa fomu Inec.
Kuchukua fomu haimaanishi kuwa uchaguzi utakuwepo! Wenzako wanakwambia Oktoba Wanatiki wewe hujistukii!
Learn to think critically.
 

Yaani huu utapeli waliofanyiwa Watanzania unauunga mkono? Hivi wewe ni Ritz original su Riz1. ...!?
 
Kuchukua fomu haimaanishi kuwa uchaguzi utakuwepo! Wenzako wanakwambia Oktoba Wanatiki wewe hujistukii!
Learn to think critically.
Hahaha kwa hiyo uchaguzi hamna😀
 
Hahaha kwa hiyo uchaguzi hamna😀
Ndiyo... Pale hakuna uchaguzi... Nendeni mkateuane teuane yaishe!
But majibu mtayapata soon before, during au after the process...
Tanga baada ya tanga baada ya tanga!
 
Mtu anafurahia yanayofanywa na CCM analalamika yanayofanywa na Israel 😁
 
Waambie ukweli Hawa machawa wapumbavu sana! Kwani nini wanaiandama chadema kwa hila na ushetani wao? Wanajinyea nyea TU, umbwa kabisa!
 
Inawezekana physically sio rohoni, unamaanisha baada ya wanaomtuma abdueli na kumpa mabilioni ya kufanikisha kujitokeza ndio mmemaliza?
 
Hujui Dunia wewe ,kaa kwa kutulia, kwa mara ya kwanza tangu ccm kuwepo ndo inaitisha harambee, nrne ,imekausha kibubu cha ccm
Hujui siasa wewe.Ccm hapo wamepiga mapigo mawili kwa mpigo.Kwanza watapata pesa na pili watakua mjadala kwenye vichwa vya watu.Wakati nyie mnakaa kuwajadili wao wanaendelea na mambo yao.Mbinu mojawapo ya wanasiasa nikupenda kusikika masikioni mwa watu kila mara. Hizo ni mbinu tu zinatumika ndugu.
 
Maria anawaza kupata idadi kubwa ya followers uko mitandaoni wala hana jambo la maana na hicho chama.
 
Mtu anafurahia yanayofanywa na CCM analalamika yanayofanywa na Israel 😁
inashangaza sana,ndio maana mm mtu aongee vipi kuhusu israel nacheka tuu,hata alie machozi na kudai hamas kuonewa nacheka tuu,maana kila mtu anafagilia anachoona ni sahihi kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…