Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Aiseeeee hadi raha kuona huko mtandaoni na mtaani hali inavyofurahisha. Kilichonifurahisha zaidi ni Gen Z kuamka, wameacha kupuuzia siasa, wameacha kupuuzia masuala ya utekaji na watu kupotea, wameacha kupuuzia huduma mbovu tunazopatiwa na serikali, wameacha kupuuzia machawa wanaochangia uharibifu wa ukuaji wa nchi hii.
Hapa sasa tunaenda kutengeneza Tanzania tunayoitaka, waharabifu wote sukuma ndani.