PreGE2025 No Reforms No Election Kutikisa Mkoa wa Kagera kuanzia Tarehe 08/05/2025, Angalia Ratiba ya Kijiji chako Hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Ile Neema ya Mungu inayoitwa No Reforms No Election sasa inaingia Mkoani Kagera.

Taarifa iliyosambazwa na Chadema Dunia nzima hii hapa

Screenshot_2025-05-07-17-04-06-1.png

Taarifa zingine zinaonyesha kwamba timu ya viongozi wa Chadema itasambaa Mkoa Mzima huku kila kiongozi akishambulia vijijini ili kuelimisha wananchi umuhimu wa mabadiliko kufanyika kabla watu hawajapoteza muda kupanga foleni ya Uchaguzi wa Uongo na ambao Matokeo yake tayari yamepangwa.

Usiondoke JF kwa Taarifa Kabambe kutoka kwangu mimi na Timu yangu ambao tayari tumewasili Kashozi nyumbani kwa akina Kokushubila.
 
Ile Neema ya Mungu inayoitwa No Reforms No Election sasa inaingia Mkoani Kagera.

Taarifa iliyosambazwa na Chadema Dunia nzima hii hapa

View attachment 3327036

Hakika penye nia pana njia.
 
Katerero watafika?
 
Safi sana, jmosi naweka 40,000 tone tone. Na uzuri madalali wametoka leo chamani ni furaha ya ajabu.
 
CCM wanakosea sana kuwatreat wapinzani kama wahaini
 
Yule RCO anayeitwa MAX MHINDI yupo wapi kwa sasa? Mara ya mwisho alikuwa kagera .
Alikipata hicho cheo akitokea pwani.
Yule mtu anavichukia vyama vya upinzani ssana.
Yupo wapi max mhindi
 
Kwa Kagera labda hapo mjini kwa Chief ndio ana nguvu, na anastahili kupata ubunge wa Bukoba mjini. Atapambana na Almasoud Kalumuna. Kwenye msiba wa Kimodoi, Mwenyekiti wa CCM Wilaya alimpa endorsement Kalumuna, ishara kwamba Byabato kaaga mashindano.

Kule Karagwe Heche aangalie tu, maana wiring ya umeme mkubwa pia imepita hapo,hapo ni kwa WWMN.

Sasa Bagonza atachota hela za kanisa mpaka lini kudadhili kampeni za chadema?
 
Yule RCO anayeitwa MAX MHINDI yupo wapi kwa sasa? Mara ya mwisho alikuwa kagera .
Alikipata hicho cheo akitokea pwani.
Yule mtu anavichukia vyama vya upinzani ssana.
Yupo wapi max mhindi
Kila anayechukia haki anakufa
 
Kwa Kagera labda hapo mjini kwa Chief ndio ana nguvu, na anastahili kupata ubunge wa Bukoba mjini. Atapambana na Almasoud Kalumuna. Kwenye msiba wa Kimodoi, Maenyekiti wa CCM Wilaya alimpa endorsement Kalumuna, ishara kwamba Byabato kaaga mashindano
Hatuhangaiki na Mamluki wa kijani
 
Back
Top Bottom