PreGE2025 'No reforms, No Election' na 'October Tunatiki' hazitatusaidia chochote, vijana leteni mifumo ya vitendo zaidi

PreGE2025 'No reforms, No Election' na 'October Tunatiki' hazitatusaidia chochote, vijana leteni mifumo ya vitendo zaidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Tukiangalia muamko wa wananchi hasa GenZ uko mtandaoni ni wamechangamka kweli, ila tujaribu kufikiria hata kihistoria mageuzi mengi watu walichukua hatua kwa kunyanyuka na kwenda kutenda ndipo waliweza kuwafukuza majasusi na majangili.

Hatuwezi kumtoa nyoka pangoni kwa kupapasa lango, tuweke mifumo dhabiti, najaribu kufikiria labda vijana wanaotuwakilisha bungeni watoe sauti na sisi wengine tukifanya yale ya kihistoria mfano mzuri wenzetu wa Kenya na kile kinachotokea Marekani.

Ni wazo langu tu, labda tujaribu kufikiria mifumo gani hiyo inaweza kuleta mabadiliko.

20250610_084954.jpg
 
Ndiko tunakoelekea mkuu..kama wameweza kupost NRNE kwa real profiles zao bila hata hofu ya kutekwa basi uoga umeanza kuwatoka taratibu, let's see but sthn big is coming.
 
Ndiko tunakoelekea mkuu..kama wameweza kupost NRNE kwa real profiles zao bila hata hofu ya kutekwa basi uoga umeanza kuwatoka taratibu, let's see but sthn big is coming.
sidhani kama limewakolea maana bado wananguvu kuhudhuria sherehe, tuzinduke kwa haraka sana
 
Back
Top Bottom