Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Msimamo wetu wa kuendelea kutokumtambua Samuya kama Rais wetu bado uko pale pale .
Na alivyo wa ajabu ,bado anaendelea kuwakwaza hao waliyomkataa hadharani, anaamini vyombo vya dola watu ambao kimsingi wametokana na jamii hiyo hiyo anayoibagaza 🤣🤣 sijui anawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili.Kiongozi asiye na ridhaa ya wananchi
walishaanza kebehi zaoDakika za jioooooni NRNE ikaenda kupiga counter-attack ya kibabe na hawaamini macho yao.