PreGE2025 No Reforms No Election yafika Tandika Sokoni, yafunga Soko mapema wananchi wakosa mahitaji ya Pasaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kanuni moja muhimu sana na ambayo tumekuwa tukiitekeleza wakati wote humu jf ni kutokalia habari njema.

Kwamba kunapotokea jambo zuri kokote Nchini Tanzania hatuna haja ya kukuficha

Huu hapa ni Mkutano wa Chadema Tandika Sokoni uliosababisha Soko kufungwa Mapema na kuleta Sintofahamu ya Pasaka.

Screenshot_2025-04-17-20-18-44-1.png
Screenshot_2025-04-17-20-18-33-1.png

Hapa chini Wananchi wakila kiapo cha kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms

Screenshot_2025-04-17-20-18-25-1.png

Ombi: Kuna haja ya Chadema kusitisha Mikutano karibu na Masoko ili kuondoa usumbufu kwa Wananchi kukosa bidhaa, hasa kwenye msimu huu wa Sikukuu
 
Kanuni moja muhimu sana na ambayo tumekuwa tukiitekeleza wakati wote humu jf ni kutokalia habari njema.

Kwamba kunapotokea jambo zuri kokote Nchini Tanzania hatuna haja ya kukuficha

Huu hapa ni Mkutano wa Chadema Tandika Sokoni uliosababisha Soko kufungwa Mapema na kuleta Sintofahamu ya Pasaka.

View attachment 3307641View attachment 3307643

Hapa chini Wananchi wakila kiapo cha kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms

View attachment 3307644

Ombi: Kuna haja ya Chadema kusitisha Mikutano karibu na Masoko ili kuondoa usumbufu kwa Wananchi kukosa bidhaa, hasa kwenye msimu huu wa Sikukuu
Jamani, aliye na connection ampatie dada'angu kazi ya maana kwani hii ya kudanganya danganya haimfai sasa
 
Kabla ya kumpa kazi nyingine ni vema kuthibitisha uongo wake kwa kuweka ukweli
 
Back
Top Bottom