Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
KumekuchaKanuni moja muhimu sana na ambayo tumekuwa tukiitekeleza wakati wote humu jf kutokalia habari njema.
Kwamba kunapotokea jambo zuri kokote Nchini Tanzania hatuna haja ya kukuficha
Huu hapa ni Mkutano wa Chadema Tandika Sokoni uliosababisha Soko kufungwa Mapema na kuleta Sintofahamu ya Pasaka.
View attachment 3307641View attachment 3307643
Hapa chini Wananchi wakila kiapo cha kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms
View attachment 3307644
Jamani, aliye na connection ampatie dada'angu kazi ya maana kwani hii ya kudanganya danganya haimfai sasaKanuni moja muhimu sana na ambayo tumekuwa tukiitekeleza wakati wote humu jf ni kutokalia habari njema.
Kwamba kunapotokea jambo zuri kokote Nchini Tanzania hatuna haja ya kukuficha
Huu hapa ni Mkutano wa Chadema Tandika Sokoni uliosababisha Soko kufungwa Mapema na kuleta Sintofahamu ya Pasaka.
View attachment 3307641View attachment 3307643
Hapa chini Wananchi wakila kiapo cha kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms
View attachment 3307644
Ombi: Kuna haja ya Chadema kusitisha Mikutano karibu na Masoko ili kuondoa usumbufu kwa Wananchi kukosa bidhaa, hasa kwenye msimu huu wa Sikukuu
HakikaNO REFORMS NO ELECTION
Kabla ya kumpa kazi nyingine ni vema kuthibitisha uongo wake kwa kuweka ukweliJamani, aliye na connection ampatie dada'angu kazi ya maana kwani hii ya kudanganya danganya haimfai sasa
Hakuna kijiji kitabakiKaribuni Bunju A